Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.

Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
Fyatu!? Ila siyo kama JK😜!
 
Kwamba:

"Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo)."

Hee! Ulimaanisha mwenye faili Mirembe kama Jobo?!

No wonder tulifika tulipofikishwa!
 
Duh miaka mitano tu watu wanalia...
Pata picha tungefanikiwa kumwezesha miaka 15....Tungekuwa tumenyooka kama mstari wa ruler....

Kwa tulivyokuwa tumelegea nadhani tumepata sindano za moto za kutosha tuharibu wenyewe sasa....Yohana alishatengeneza njia nyikani acha wapakwa mafuta waje kutupeleka Caanan😂😂😂
 
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.

Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
Hebu peleka ujinga huko. Tulishakuwa na "rais" fyatu na matokeo yake tumeyaona...
 
Back
Top Bottom