Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Ange.... ange.... ange...Kuhusu mishahara, JPM angekuja kuiongeza mara hata 20 kwakua alikuwa si mbabaishaji, alijua uwezo wa nchi bila kuweka misingi imara ya uchumi haiwezi kukidhi haja ya waliowengi....Kama miradi yote aliyoibuni angeifikisha misho mishahara ni kitu kidogo sana...Tatizo tulitaka awe kama ndiyo Mungu na afanye muujiza ndani ya muda mfupi a solve matatizo yote hata kama sote tunajua uwezo wa nchi zetu una ukomo kwakua kwanza hatuna nguvu za kidola kuwabishia wababe wa dunia hii....Hata hivyo yeye alithubutu kubisha na ishara pekee ni kutokwenda kwao kuwaomba hiyo pia ni legacy...Amekufa kama Mkwawa hajawahi ya rudia matapishi yake....
Tupende au tukatae JPM kila alichokitamka alikifanya iwe ni kibaya au kizuri...Alikitimiza! Hii ni sifa yake kuu
Jamaa zetu wengine mpaka wajomba zetu, wamestaafu wakiwa na mishahara iliyoongezwa kipindi cha Mheshimiwa JK. wamefanya kazi for 5 years baada ya kuondoka JK bila kuongezwa hata senti Mia mbovu mpaka wamestaafu wewe unasema angekuja kuongeza mara 20??
Hivi wenzetu mnatumia akili kufikiria kweli???