Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Wanachokitaka Watanzania wengi kitajulikana siku kukiwa na tume huru ya uchaguzi, hayo mengine ni porojo za vijiweni tu.
Watanzania wana unafiki mpaka shetani anakaa kitako tena kwa utulivu na kikombe chake cha kahawa, kalamu na karatasi anajifunza unafiki kwa watanzania...
 
Njia pekee ya kujua raia wengi wanataka nini ni kupitia tume huru ya uchaguzi sio kuomba
Aseeee hatujui tunataka nini kwa kweli, note my words hata huyu samia few years to come watu watakuwa wamesha mchoka, wataomba aje kiongoz mwingine.
 
Mbona si muda mrefu watataka fyatu mwingine...
Bila sanduku la kura kupitia tume huru ya uchaguzi hizi ni porojo na propoganda mfu tu. Mnachukua wachumbuzi uchawara wawili au watatu kwenye vyombo vya habari ambavyo ni state controlled halafu mnasema watanzania wanataka.
 
Hakuna ufisadi mkubwa zaidi ya mtu kujenga airport ya kimataifa kijijini kwake ambayo muda mchache inabaki kama gofu.
Hali ikizidi kuwa mbaya huku mafisadi wakirudi vizuri kwenye chati za town utaskia tu ni swala la muda!!!
 
JK ndiye Rais aliyejenga mtandao mkubwa zaidi wa barabara za lami kuliko Rais yeyote nchi hii. JK ndiye mtu aliyeukuza uchumi wa nchi kwa kasi kubwa kuliko Rais mwingine yeyote.
Miaka yake 25 ya utumishi katika baraza la mawaziri ebu tuone kama kuna mtanzania ambaye anaweza kumfikia hata robo ya records alizojiwekea...

Huwezi kuongea kuhusu barabara ukamwacha JPM pembeni, na tukumbuke ni yeye aliyesema hadharani tutaendesha taxi kutoka Mtwara mpaka Bukoba...Ile ilani aliyopewa pamoja na kuwa si yeye aliyoiandika kila sentensi na ahadi aliyoisema aliitekeleza.... Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania vitu kweli vikaonekana kwa macho na ahadi kutekelezeka japo wengi tulizoea maneno ya kisiasa ambayo tuliaminishwa hata yasipotekelezwa hakuna wa kuhoji...

Pamoja na yote hayo bado kuna watu wanatamani hizo physical foot prints zake labda ingefaa radi izipige ili tu waonyeshe kuwa hakufanya kitu.....Thats how wicked a humanbeing is;

Neno la Mungu linasema..."The heart is deceitful above all things, and desperately wicked: who can know it?" "But those things which proceed out of the mouth come forth from the heart; and they defile the man...

Watanzania time is a good healer, lets wait and see...Ipo siku nayo yaja tutamkumbuka kwa machozi na wala hatoweza kutusikia...Rest in Power Dr. John Joseph Pombe Magufuli!
 
Alikuta nchi hii tayari ina misingi imara sana ya uchumi, we akili zako za ukiliza zinafikiri flyovers 2 ndio misingi imara ya uchumi.

Amekopa na kuongeza deni lkuliko mtu mwingine yeyote huku akiwaimbisha ni pesa za ndani zinatumika kujenga.
Kuhusu mishahara, JPM angekuja kuiongeza mara hata 20 kwakua alikuwa si mbabaishaji, alijua uwezo wa nchi bila kuweka misingi imara ya uchumi haiwezi kukidhi haja ya waliowengi....Kama miradi yote aliyoibuni angeifikisha misho mishahara ni kitu kidogo sana...Tatizo tulitaka awe kama ndiyo Mungu na afanye muujiza ndani ya muda mfupi a solve matatizo yote hata kama sote tunajua uwezo wa nchi zetu una ukomo kwakua kwanza hatuna nguvu za kidola kuwabishia wababe wa dunia hii....Hata hivyo yeye alithubutu kubisha na ishara pekee ni kutokwenda kwao kuwaomba hiyo pia ni legacy...Amekufa kama Mkwawa hajawahi ya rudia matapishi yake....

Tupende au tukatae JPM kila alichokitamka alikifanya iwe ni kibaya au kizuri...Alikitimiza! Hii ni sifa yake kuu
 
JK ndiye Rais aliyejenga mtandao mkubwa zaidi wa barabara za lami kuliko Rais yeyote nchi hii. JK ndiye mtu aliyeukuza uchumi wa nchi kwa kasi kubwa kuliko Rais mwingine yeyote.
Waziri aliyekuwa na hiyo portifolio alikuwa nani vile, nikumbushe tafadhali...Utateseka sana...Yupo kama maji kila ukitaja mafanikio kuanzia awamu ya tatu mpaka ya tano jina lake limo kwenye list....Acha husuda, mpe haki anayestahili haki yake...Legacy ya JPM haipunguzi wala haigombani na ya JK tatizo mnataka kulazimisha mambo!
 
Alikuta nchi hii tayari ina misingi imara sana ya uchumi, we akili zako za ukiliza zinafikiri flyovers 2 ndio misingi imara ya uchumi.

Amekopa na kuongeza deni lkuliko mtu mwingine yeyote huku akiwaimbisha ni pesa za ndani zinatumika kujenga.
Aise, aliikuta akitokea wapi? Au umesahau alikwepo tangu 1995....The longest serving politician at the constitutional level consistently nyuma kidogo ya Mwl JK Nyerere!
He has a clean record....Hakuwahi tumbuliwa au hata kupumzishwa sema na hili ni uwongo!
 
Yohana ameharibu kabisa nyika kila mahali palipokiwa pamestawi ni vilio,watu wameishi kama mashetani kama ilivyokuwa shauku yake.Mngemuwezesha kuwa mtawala wa milele kama mlivyotaka watu wangelimia mapengo na fizi kabisa na sio meno maana yote yangeng'oka
Hao watu ni wa jamuhuri ya twiter wale wa Jamuhuri ya Muungano uliwaona siku ile ya kumuuaga walivyozuiwa wakavamia airport...Hao ndiyo sauti ya Mungu sauti ya watu...Utateseka sana....Pole, roho mbaya mzigo!
 
Miaka yake 25 ya utumishi katika baraza la mawaziri ebu tuone kama kuna mtanzania ambaye anaweza kumfikia hata robo ya records alizojiwekea...

Huwezi kuongea kuhusu barabara ukamwacha JPM pembeni, na tukumbuke ni yeye aliyesema hadharani tutaendesha taxi kutoka Mtwara mpaka Bukoba...Ile ilani aliyopewa pamoja na kuwa si yeye aliyoiandika kila sentensi na ahadi aliyoisema aliitekeleza.... Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania vitu kweli vikaonekana kwa macho na ahadi kutekelezeka japo wengi tulizoea maneno ya kisiasa ambayo tuliaminishwa hata yasipotekelezwa hakuna wa kuhoji...

Pamoja na yote hayo bado kuna watu wanatamani hizo physical foot prints zake labda ingefaa radi izipige ili tu waonyeshe kuwa hakufanya kitu.....Thats how wicked a humanbeing is;

Neno la Mungu linasema..."The heart is deceitful above all things, and desperately wicked: who can know it?" "But those things which proceed out of the mouth come forth from the heart; and they defile the man...

Watanzania time is a good healer, lets wait and see...Ipo siku nayo yaja tutamkumbuka kwa machozi na wala hatoweza kutusikia...Rest in Power Dr. John Joseph Pombe Magufuli!
Machozi yangu...unajuaga...
 
JK ndiye Rais aliyejenga mtandao mkubwa zaidi wa barabara za lami kuliko Rais yeyote nchi hii. JK ndiye mtu aliyeukuza uchumi wa nchi kwa kasi kubwa kuliko Rais mwingine yeyote.
Natamani nikupe tusi zito nipigwe ban. Huo mtandao wa barabara aliusimamia nani? JK uchumi alioukuza aliupeleka wapi mbona hatukufika hata huo uchumi wa kati. Au tafsiri yako ya kukuza uchumi ni ipi?
 
Hakuna ufisadi mkubwa zaidi ya mtu kujenga airport ya kimataifa kijijini kwake ambayo muda mchache inabaki kama gofu.
Airport itakaa pale milele kama haikutumika sasa basi itatumika na hata vizazi vijavyo. Huwezi kufafananisha na bilioni 365 alizopiga seth zimemnufaisha nani? na leo yupo nje. Watanzania tuna laana
 
Unachofanya hapa ni chako changu, changu changu.Utopolo mtupu.
Kama kwa JK ilikuwa ni JPM basi kwa JPM iwe Makame Mbarawa.

Halafu usisahau na Legacy nyingine ya kuuza Nyumba za serikali kwa bei kutupwa.
Waziri aliyekuwa na hiyo portifolio alikuwa nani vile, nikumbushe tafadhali...Utateseka sana...Yupo kama maji kila ukitaja mafanikio kuanzia awamu ya tatu mpaka ya tano jina lake limo kwenye list....Acha husuda, mpe haki anayestahili haki yake...Legacy ya JPM haipunguzi wala haigombani na ya JK tatizo mnataka kulazimisha mambo!
 
Clean record ni pamoja na kutoa nyumba za serikali kwa ngudu zake au ununuzi wa vivuko vibovu?

Chrisant Mzindikaya alikuwa mbunge kwa miaka 45 mfululizo. Don't just pull statistics out of your a**
Aise, aliikuta akitokea wapi? Au umesahau alikwepo tangu 1995....The longest serving politician at the constitutional level consistently nyuma kidogo ya Mwl JK Nyerere!
He has a clean record....Hakuwahi tumbuliwa au hata kupumzishwa sema na hili ni uwongo!
 
Sema mungu yupi, acha kumbwela mbwela.
Anayeamua mshindi wa uchaguzi ni tume labda kama wao ndio umewapa huo wadhfa.
You Can't pull me down to this new low level of Q&A about Mungu. Hujui unajua ni yupi thats up to you.
 
Huyu tulie naye huyu ndiye anayeonyesha njia ya ujenzi wa taasisi imara tu! wengine wasanii na majizi tu! Mbwa mwitu alijichagulia nguchiro na mafisi wenzie
Tena eti mtu anasema alizungukwa. Alizungukwa au alijizungushia hao watu kusudi kwa nia yake flani???

JPM aliamua kujizungushia watu wa aina ile kwa dhamira maalum
 
Mkuu,Kiongozi yeyote mwenye maono makubwa lazima adhihirike kama Fyatu kwa sababu maono makubwa hapewi kila mtu. Acha watu wamubeze tu Magufuli lakini huyu mwingine baada ya miaka 4 ndo wataona pengo kati ya Uongozi wa maono na Uongozi mazoea.
Aaaaaaa wapi!

Neema zinazotiririshwa na Mama Samia???

Tutampa miaka mengine zaidi na zaidi. Hatutaki kurudi tulikotoka. Tulisomesha wadogo zetu kwa mikopo tukiamini mpaka wakimaliza mazingira mazuri yatakuwa yamewekwa ili waweze kukopa bank wajiajiri maana tulishaambiwa hakuna ajira mpya.

Wadogo zetu wanakaa tu nyumbani, Sikh watu wanaambiwa wabaki na mavi yao nyumbani bahati nzuri mimi nlikuwa na pesa na nliingia pale maliwtoni nkajistiri, Watanzania wenzangu ambao hawakuwa na senti mbovu sijui walifanyaje
 
Taasisi siyo robot...Ina actors...Kama actors wote wamekuwa corrupted, hiyo taasisi inajengwaje?

Nchi kama dola ya roma ni mwanzilishinwa unachokiita taasisi, je rushwa na umafia uliopo huko unaufahamu?

Alichokuwa anafanya hayati ni kujaribu kuweka misingi ambayo kama angebahatika angei cement kwa taasisi imara kama exit strategy yake....Tatizo kubwa alizungukwa na watu ambao walijivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali
Alizungukwa??????!!!!!!!

Mimi nlidhani alikuwa akiwateua waliomzunguka kumbe wote wale walijiteua wenyewe?!

Alijizungushia watu aliojizungushia akiwa na akili timamu na lengo maalum.
 
Back
Top Bottom