Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Binafsi nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanaipinga sana awamu ya tano na Rais wake Magufuli ila baada ya kutafakari na kujionea hali halisi ilivyo sasa Ninakiri kwamba nilifanya makosa makubwa sana, Ninaomba nisamehewe.Magufuli alikuwa ni nabii aliyepata kuishi ili kuonyesha njia sahihi na miongozo tunayopaswa kuiishi.Leo utumbuaji umekuwa kawaida pale uzembe unapodhihirika zamani haya hayakuwezekana.Kazi alizofanyia Tanzania ni kubwa sana tangu akiwa waziri.Ni kweli alivyosema kuwa amejitolea uhai wake kwa ajili ya Tanzania na sote tumeshuhudia lawama nyingi alizobebeshwa yote hayo yalikuwa ni kwa mapenzi makubwa aliyonayo kwa Tanzania.Magufuli ameitendea haki Tanzania katika nyanja zote, Uchumi,Elimu,Afya,Miundombinu muhimu amani na usalama wa taifa.Kwakweli ni mengi sana aliyoyafanya hayatoshi kuelezea hapa.Ila itoshe tu kusema tumeona ukuu wa Mungu kupitia mtu huyu aliyetumwa kuonyesha njia.Bwana ametoa,Bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe! Amen
 
Binafsi nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanaipinga sana awamu ya tano na Rais wake Magufuli ila baada ya kutafakari na kujionea hali halisi ilivyo sasa Ninakiri kwamba nilifanya makosa makubwa sana, Ninaomba nisamehewe.Magufuli alikuwa ni nabii aliyepata kuishi ili kuonyesha njia sahihi na miongozo tunayopaswa kuiishi.Leo utumbuaji umekuwa kawaida pale uzembe unapodhihirika zamani haya hayakuwezekana.Kazi alizofanyia Tanzania ni kubwa sana tangu akiwa waziri.Ni kweli alivyosema kuwa amejitolea uhai wake kwa ajili ya Tanzania na sote tumeshuhudia lawama nyingi alizobebeshwa yote hayo yalikuwa ni kwa mapenzi makubwa aliyonayo kwa Tanzania.Magufuli ameitendea haki Tanzania katika nyanja zote, Uchumi,Elimu,Afya,Miundombinu muhimu amani na usalama wa taifa.Kwakweli no mengi sana aliyoyafanya hayatoshi kuelezea hapa.Ila itoshe tu kusema tumeona ukuu wa Mungu kupitia mtu huyu aliyetumwa kuonyesha njia.Bwana ametoa,Bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe! Amen
Amen
 
Kuna watu wana play victims...Tujiulize kama ingekuwa ni wewe na unajua kuwa kuna mamluki ambao wanataka kuku distract wakati wewe una time limit ungefanyaje?

Alii define democracy kwa namna ambayo siyo ile tunayoimbishwa, ina context yake. Japo in my opinion alienda to the extreme, pengine was justified hapa siwezi sema.

Hata hivyo hakupenda kupingwa hadharani ambayo ni weakness yake kuu na pengine aliichukulia personal na kuwawajibisha wahusika...Lakini je wako wapi watu ambao wakionekana ni confidant wake? Mbona hawakuthubutu hata kumwambia kwa faragha mzee hapo unaenda sivyo? Hawa ndiyo ambao naamini wanapaswa kulaumiwa...I could have told him point blank lakini ki faragha if I were to be one amongst....Hawa wapambe nuksi ndiyo mama yetu Mh. Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuwa "watch out" Mwl Nyerere aliwang'amua akawawakwepa na kuamua wisely a good fate for him!
Kutokupenda kupingwa hadharani, una “downplay” kwamba eti ni “just his weakness” na huku hiyo weakness yenyewe ilipelekea
Watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa! Shida yenu ni mlikuwa mnatumia dini kuficha uovu. Tena walokole nyie ndo kabisaa! Hadi mkampa kichwa akaacha kuvaa barakoa na akafa kwa COVID-19.

Nyie mlimpenda kwasababu mulipomsifia, aliwafanyia “favors” za kutosha. Na ndiyo maana hamtaki eti aitwe mwendazake. Mumechangia kwenye kifo chake. Nawashangaa!
 
Binafsi nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanaipinga sana awamu ya tano na Rais wake Magufuli ila baada ya kutafakari na kujionea hali halisi ilivyo sasa Ninakiri kwamba nilifanya makosa makubwa sana, Ninaomba nisamehewe.Magufuli alikuwa ni nabii aliyepata kuishi ili kuonyesha njia sahihi na miongozo tunayopaswa kuiishi.Leo utumbuaji umekuwa kawaida pale uzembe unapodhihirika zamani haya hayakuwezekana.Kazi alizofanyia Tanzania ni kubwa sana tangu akiwa waziri.Ni kweli alivyosema kuwa amejitolea uhai wake kwa ajili ya Tanzania na sote tumeshuhudia lawama nyingi alizobebeshwa yote hayo yalikuwa ni kwa mapenzi makubwa aliyonayo kwa Tanzania.Magufuli ameitendea haki Tanzania katika nyanja zote, Uchumi,Elimu,Afya,Miundombinu muhimu amani na usalama wa taifa.Kwakweli ni mengi sana aliyoyafanya hayatoshi kuelezea hapa.Ila itoshe tu kusema tumeona ukuu wa Mungu kupitia mtu huyu aliyetumwa kuonyesha njia.Bwana ametoa,Bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe! Amen
 
Ni kweli tunahitaji Raisi imara anayejiamini na kufuatilia kwa makini mipango ya maendeleo. KWELI tunahitaji mbwatukaji, wakuthubutu, asiyemwoga, na zaidi anayezungukwa na watu wanaojiamini na sio kujipendekezaaaaaa....

Tuna safari ndefuuu lakini njia ya mabadilikoo ipo
Tujengee uthubutuu katika jamii yetu, nasikitika wasomii ndio wanaongoza kundi la wasiojiamini na wanafikii katika masulaa muhimu ya maendeleoo ya Taifa
Sema sisi watz wanafiki sana
 
Kutokupenda kupingwa hadharani, una “downplay” kwamba eti ni “just his weakness” na huku hiyo weakness yenyewe ilipelekea
Watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa! Shida yenu ni mlikuwa mnatumia dini kuficha uovu. Tena walokole nyie ndo kabisaa! Hadi mkampa kichwa akaacha kuvaa barakoa na akafa kwa COVID-19.

Nyie mlimpenda kwasababu mulipomsifia, aliwafanyia “favors” za kutosha. Na ndiyo maana hamtaki eti aitwe mwendazake. Mumechangia kwenye kifo chake. Nawashangaa!
Nani alitekwa na kuuawa?
 
Aaaaaaa wapi!

Neema zinazotiririshwa na Mama Samia???

Tutampa miaka mengine zaidi na zaidi. Hatutaki kurudi tulikotoka. Tulisomesha wadogo zetu kwa mikopo tukiamini mpaka wakimaliza mazingira mazuri yatakuwa yamewekwa ili waweze kukopa bank wajiajiri maana tulishaambiwa hakuna ajira mpya.

Wadogo zetu wanakaa tu nyumbani, Sikh watu wanaambiwa wabaki na mavi yao nyumbani bahati nzuri mimi nlikuwa na pesa na nliingia pale maliwtoni nkajistiri, Watanzania wenzangu ambao hawakuwa na senti mbovu sijui walifanyaje
Mkuu, Nawachukia watu dizaini yako. Badilisha hata ID basi.
 
Aseeee hatujui tunataka nini kwa kweli, note my words hata huyu samia few years to come watu watakuwa wamesha mchoka, wataomba aje kiongoz mwingine.
Kwa level ya Urais huwezi kupendwa na kila mtu mkuu, Unasahau pia nature ya binadamu Kupenda Varieties vitu vipya, Mama aendelee kujenga Taifa huku akifahamu wapo watakaomchukia tena wataenda far na kuanza harakati awe imara zaidi JPM vinginevyo hujuma zitakuwa juu sana kwa waliobanwa mirija yao ivo kupelekea vitu kama maandamano ambayo ivo kukutoa kwenye Power ni haraka sana
Asitake kuridhisha kila mtu tena katika Kundi ambalo hata ulibebe mgongoni hariridhiki ni hao waliojificha kwenye miavuli wa investors, Mwendezake alilijua ilo ndio mana mtaji wake ukabaki kwa hawa low na medium Class
 
Back
Top Bottom