Tanzania, I miss you

Ya kukaanga hiyo.

Mingine kama huu wa chini ni chelema ila mingine ina unga, sio mbaya
 
Nimekaanga kuku. Nikatengeneza pilipili na kutingisha kuku katika container kwa dakika moja.
 
Mkuu ukiacha vitumbua, vilivyobaki vyote huwa tunakula zinapotokea shughuli za kibongo. Inawezekana huwa hujichanganyi huku Japan, ndio maana vitu vya kibongo unavikosa. Lakini hupikwa na watu huwa tunakumbuka nyumbani.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante Mkuu Kalamzuvendi.

Ni kweli, sijichanganyi sana. Ila festival za vyakula pale Harajuku sizikosi, hasa za Jamaica na Brazil.

Nakula vyakula vya nyumbani ikifika African Festival ya Yokohama.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hii juice ya ukwaju uchanganye na water melon inakua bomba

Nakumbuka mama akichanganya ukwaju na papai alafu anaweka vipande vya ndimu tamu balaa hususan na kulia pilau

Kweli kabisa. Papaya na ukwaju vinaenda vizuri sana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…