Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Napika pilau leo!!
Last edited by a moderator:
Napika pilau leo!!
huo urojo niko hoi!
Napika pilau leo!!
Chapati Chapati jamani nimezimiss mbayaaa!!
Sasa hiyo itakuwa hataree.... "umoto umoto" sikuna kubabuana hapo?!!Hasa upate zilizotoka kukaangwa hapo hapo na umoto umoto wake duh....
Njooni wote karibuni sana!!Tuje? Au unatuhadithia tu?
Hahahaha pole hapa mambo ya kutoana udenda tu
alafu uzile na mchuzi wa mbuzi !Hasa upate zilizotoka kukaangwa hapo hapo na umoto umoto wake duh....
alafu uzile na mchuzi wa mbuzi !
Dah, natamani nibandue picha nile nishibe. Izo kungu sijaziona miaka Na ayyam