Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,191
- 4,576
Kuna watu huwezi kuwasahau kirahisi. Jadda ni mmoja wao. Ukimletea hoja, anakupa hoja; ukijaribu kumuelezea jambo, anakuelewa na kukujibu kwa mantiki. Ni thinker wa kweli. Nimeikosa sana ile namna yake ya kufikiri na kujieleza.
Jadda ni aina ya watu wanaofanya mazungumzo yawe na thamani. Akili yake, hoja zake, na namna anavyojieleza vinaacha alama. Kwa kweli nimemmisi.
Jadda, Iāve missed you.
Jadda ni aina ya watu wanaofanya mazungumzo yawe na thamani. Akili yake, hoja zake, na namna anavyojieleza vinaacha alama. Kwa kweli nimemmisi.
Jadda, Iāve missed you.