Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Huko unakoishi Mkuu hakuna Warembo wa kukutengenezea mahanjumati? Baadhi ya warembo wa Kibongo nchi za nje wenye utaalamu katika idara ya jikoni wanatengeneza mahanjumati bomba sana na wengine wameanzisha biashara za mahanjumati na asilimia kubwa ya wateja wao ni Wabongo, huwa wanavuta pesa nzuri sana.
labda ujipikie mwenyewe na ukipika unga sijui ukoje zinatoka kama biscuti!
We huijui tu hali yangu. Juzi nimempikisha mtu tambi nyeupe nlikua nazitamani vibaya. Na hapo huo mkate wa mchele nshautamani.
Vibaya ivoooo
Haaaa nimetamani hiko kitumbua,jisamaki na ndizi mbivu...
Cc farkhina wapitwa huku!
Mie nlikua wapi huu uzi umenipita? 😭😭😭😭😭😭
Badia na chatne apo udenda umentoka na ilo bungo sasa
Umechelewa shughulini bibi karamu imeshaliwa tumekubakizia viporo tu!!