![]()
Hilki naziona wapepatia
Tatizo wamewahi kuvitoa ilitakiwa viwe rangi ya brown(vikauke kiasi), hivi viteke
Mkuu BAK, nipo Tokyo. Hapa hamna wageni wengi.
Waafrika wengi ni wa Ghana, Ethiopia na Nigeria na wanahesabika. Inabidi nijifunze mwenyewe pole pole kupika vya home.
Kama Toronto au Boston, hamna matatizo na vyakula vyetu. Kuna wapishi hatari huko.
labda ujipikie mwenyewe na ukipika unga sijui ukoje zinatoka kama biscuti!
View attachment 259628
Nimekaanga kuku. Nikatengeneza pilipili na kutingisha kuku katika container kwa dakika moja.
Mkuu ukiacha vitumbua, vilivyobaki vyote huwa tunakula zinapotokea shughuli za kibongo. Inawezekana huwa hujichanganyi huku Japan, ndio maana vitu vya kibongo unavikosa. Lakini hupikwa na watu huwa tunakumbuka nyumbani.
Hii juice ya ukwaju uchanganye na water melon inakua bomba
Nakumbuka mama akichanganya ukwaju na papai alafu anaweka vipande vya ndimu tamu balaa hususan na kulia pilau
Hahahahaha shost taratibu lakini la si hivyo itabidi nikupitie twende ngazi mia kufanya mazoezi lol
ningejua nisingefungua hii topic....maana sasa natamani hivyo vitumbuaaa!