Mshiriki wa zamani wa shindano la Miss Afrika Kusini Chidimma Adetshina amelazimika kutoka na ulinzi mkali nje ya mahakama Afrika Kusini baada ya waandamanaji kujitokeza nje ya mahakama hiyo wakimtaka aondoke nchini humo mapema iwezekanavyo.
Soma pia: Mitchelle Daka Crowned First Miss Universe Uganda
Mrembo huyo ambaye alilazimika kuacha kugombea taji la Miss Afrika Kusini mwaka 2024 amekubwa na sekeseke la uraia kutokana na utata wa uraia wake. Baada ya kuacha kugombea Miss Afrika Kusini 2024, Chidimma aligombea Miss Universe 2025 nchini Nigeria na Kushinda taji hilo.
Chidimma amezaliwa Afrika Kusini, Baba akiwa Mnigeria mama Mmozambiki. Pamoja na kuzaliwa Nigeria sheria ya Afrika Kusini haimpi Uraia moja kwa moja mtoto aliyezaliwa nchini Humo.