Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

its better for new faces kuliko hao walio experienced. new faces ni easy to teach.. to control.
so i say bora hao.. but wawahi.before it is too late

Chief, kazi za TISS sio sawa na kazi nyingine kwamba you can easily change people uweke wengine bila kuface consequences zake!

Tuanze upya yes! Ila turudi nyuma zaidi! Utumike utaratibu ambao ni world wide standard ya recruiting katika Kada hii!

Waliopo kwa sasa sio kwamba wote hawafai, I believe it’s just a glitch in the system and it can be corrected though not easily!

The current president has been in the corridors of power for some good years now! I’m very sure that she knows milango gani ya kufungua na ipi ya kufunga kabisa!

Kazi ni ngumu na kubwa ila atafanikiwa! InshaAllah
 
Lakini pia tutazame kwa upande wa viongozi wakubwa wa Serikali waliokua na highest security clearance! Hawa pia sio wa kuwadharau!

We might be barking at the wrong group huku kimya kimya wakifuta footprints zao na tukijakushtuka tayari hata vumbi hakuna!

It’s really rare that the all top officials wa Serikali wakapoteza maisha carelessly within two years!! Tena viongozi waliokua hawachangamani kihivyo na raia wa kawaida!

Something very very dark is going on!
Could be absolutely right!
Either walitengwa Au walijitenga kufuatana na kutokukubaliana na mfumo.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Unavunjaje system nzima wakati hujui chanzo cha tatizo? Suppose information zina leak kwa njia ya system ya mawasialaiano yao kuwa hacked na watu walioko nje ya system yao? Kinachohitajika hapa kwa sasa ni kwamba wanatakiwa warekebishe mfumo wao wa mawasiliano na kuhakikisha kuwa hauwezi kuwa hacked. Wakishafanya hivyo na wakajiridhisha kabisa kuwa hakuna hacking inayoweza kufanyika, lakini still baada ya hapo kukaendelea kuwa na leakage ya taarifa zao, hapo ndiyo sasa wanaweza kurudi kwa watumiaji wa mfumo huo, na ndiyo hapo wanaweza kuvunja system iliyopo ila tu wawe na uhakika kabisa kuwa leakage hiyo haitokani na hacking

Tukiacha mfumo wa mawasiliano wa TISS pembeni, vipi kuhusu loyalties tu za hao wana TISS kwa wakubwa wengine wa hii nchi tofauti na taasisi ya Rais na Serikali?

Lazima kuna wakubwa wako na vijana wao loyal katika taasisi ya ulinzi na wanapewa briefings kama kawaida as if wao ndio DG!
 
Could be absolutely right!
Either walitengwa Au walijitenga kufuatana na kutokukubaliana na mfumo.

Everyday is Saturday............................... :cool:

Kumbuka matamko ya wakubwa waliotengwa na kujitenga baada ya uchaguzi wa 2015 na sarakasi zao ever since mpaka 2017 ambapo speed ya kumchimbia shimo mwendazake ilipokolea!

Digital footprints zimejaa kwa thread za humu JF! Hiding in plain sight kwa jinsi walivyojiamini!

It’s really sad tulipofika!!!
 
Tukiacha mfumo wa mawasiliano wa TISS pembeni, vipi kuhusu loyalties tu za hao wana TISS kwa wakubwa wengine wa hii nchi tofauti na taasisi ya Rais na Serikali?

Lazima kuna wakubwa wako na vijana wao loyal katika taasisi ya ulinzi na wanapewa briefings kama kawaida as if wao ndio DG!
Sikatai unachosema ila mimi nilikuwa nashauri trobleshooting ianzie kwenye technology kwanza halafu baada ya hapo ku-dismantle system ndiyo kunafuata, au vyote viwili vifanyike kwa pamoja ila authentification of technology itangulie. In any case, wanatakiwa waanze kwa kuihakiki kwanza teknolojia yao wanayotumia kuona kama tatizo haliko huko, halafu mengine sasa nayo ndiyo yanafuata
 
Adui wa kwanza wa nchi hii alikuwa ni mwenda kwao,mwenda kwao was a very shirt sighted leader aliyeangalia tu maslahi yake ya kisiasa tena ya muda mfupi,kwa hiyo mtu yeyote aliyeonekana kuwa against upinzani basi alimpa cheo na wengine kuwapa kazi idara ya usalama,matokeo ya kazi yake hiyo ndo hiki unachokiona sasa,vijana wanashindana kutoa breaking news
 
Tukiacha mfumo wa mawasiliano wa TISS pembeni, vipi kuhusu loyalties tu za hao wana TISS kwa wakubwa wengine wa hii nchi tofauti na taasisi ya Rais na Serikali?

Lazima kuna wakubwa wako na vijana wao loyal katika taasisi ya ulinzi na wanapewa briefings kama kawaida as if wao ndio DG!
speaking of loyalty this is my highest concern.
is why we need loyal new faces. current ones are probably compromised.
but then lazima tuchange the way we recruit peoples kwenye hii taasisi.
TISS warudi nyuma where they used to search for rare talents,individuals.
This day ni mtu kaingizwa na shangazi..mjomba au chama.
they ipitishwe sheria ambayo haitoruhusu wanasiasa kuwa na access na TISS members.
 
Sikatai unachosema ila mimi nilikuwa nashauri trobleshooting ianzie kwenye technology kwanza halafu baada ya hapo ku-dismantle system ndiyo kunafuata, au vyote viwili vifanyike kwa pamoja ila authentification of technology itangulie. In any case, wanatakiwa waanze kwa kuihakiki kwanza teknolojia yao wanayotumia kuona kama tatizo haliko huko, halafu mengine sasa nayo ndiyo yanafuata
correct me if i am wrong. technology without user hiyo ni useless.
kwanza wafanye right recruitment. loyal smart individual.
then right technology ifuate.
 
Tunatakiwa tuanze na technology kwanza, baada ya hapo tufanye recruitment afresh, kulingana na dunia ya sasa hivi, ni ngumu kuwa na loyalty TISS member, watu wengi nchini , nje ya nchi na maadui wa Tanzania na viongozi wao wana waaproach kila siku hivyo kuwa na vishawishi ambavyo ni vigumu kwa TISS staff kukataa, technologia lazima ianze kwanza kabla ya kila kitu, mfano minara ya simu inakuja kwanza watu wana deploy one site and then clients/end users ndipo wataanza kununua simu, or u can still upgrade existing system to new system baada ya hapo watumiaji wanafuata. System hii ya TISS imefail kila idara, hapa tunaonekana kuna leakage kubwa sana za information kwenda nje ya mfumo, inaonekana kuna TISS sabotage ndani ya TISS ambayo ndio imefanya mchezo huu wote, its only new technology which will force all TISS members to be loyalty , believe me, we have to tape them in all ways , watapatikana, technology never lie.
 
Lakini pia tutazame kwa upande wa viongozi wakubwa wa Serikali waliokua na highest security clearance! Hawa pia sio wa kuwadharau!

We might be barking at the wrong group huku kimya kimya wakifuta footprints zao na tukijakushtuka tayari hata vumbi hakuna!

It’s really rare that the all top officials wa Serikali wakapoteza maisha carelessly within two years!! Tena viongozi waliokua hawachangamani kihivyo na raia wa kawaida!

Something very very dark is going on!
Pia mimi hilo limenipa ukakasi....
 
Yupo usalama uchwara tulifukuzia demu mmoja alipogundua nakaribia kumshinda akajitambulisha kuwa yeye ni usalama na bado akapigwa chini.
 
Kumbuka matamko ya wakubwa waliotengwa na kujitenga baada ya uchaguzi wa 2015 na sarakasi zao ever since mpaka 2017 ambapo speed ya kumchimbia shimo mwendazake ilipokolea!

Digital footprints zimejaa kwa thread za humu JF! Hiding in plain sight kwa jinsi walivyojiamini!

It’s really sad tulipofika!!!

..nadhani chanzo cha yote haya ni hulka na tabia za mwendazake.

..tiss haitakiwi ifanye kazi za kushughulikia wapinzani wa kisiasa wa bwana mkubwa.

..chombo chochote kile kikianza kutumika kinyume na malengo ya kuanzishwa kwake ni lazima kutatokea mgawanyiko ktk chombo hicho.

..wako watakaokubali kutumika kinyume na malengo ya chombo husika, na wako waadilifu watakaoona wamesalitiwa kwani wao walijiunga wakitegemea wanakwenda kufanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi.

..kwa maoni yangu WAHALIFU wote waondolewe Tiss, wabakishwe waadilifu ambao hawakuchafuka kwa matendo ya kihalifu yaliyoota mizizi tangu mwendazake aliposhika hatamu.
 
speaking of loyalty this is my highest concern.
is why we need loyal new faces. current ones are probably compromised.
but then lazima tuchange the way we recruit peoples kwenye hii taasisi.
TISS warudi nyuma where they used to search for rare talents,individuals.
This day ni mtu kaingizwa na shangazi..mjomba au chama.
they ipitishwe sheria ambayo haitoruhusu wanasiasa kuwa na access na TISS members.

Uko sahihi Chief!
 
Wivu wa kike
Laiti ungejua hata mimi nalipwa mshahara kama yeye lakini mara kumi zaidi yake,
Ungetumia muda wako kufikiria kesho kama kifungua kinywa utakipotezea halafu utamalizia siku kwa mlo wa usiku.
 
TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.

zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.

na huu ni mwanzo.tu.
Kwa kweli sasa hivi Idara si Intelligence tena.
Vifo vya watumishi wengi Ikulu ni moja ya makosa yanayo waumbua.
Ukicheza na facts na kuingiza siasa, unaumbuka.
 
correct me if i am wrong. technology without user hiyo ni useless.
kwanza wafanye right recruitment. loyal smart individual.
then right technology ifuate.
Recrutment ni mchakato utakaochukua muda mrefu sana, assuming your argument is correct. It's impossible (not that it is diffucult but IMPOSSIBLE, because a difficult thing is a possibe thing) kuwatoa hata nusu yao tu achilia mbali wote, kwa mkupuo halafu ukaweka wengine. That way might completely paralyse the system na utakuwa hauna unachokifanya. Unachosema wewe ni mchakato ambao unaweza ukachukua si chini ya miaka 10, yaani awamu zote mbili za utawla wa mama. But at the moment to begin with, waanze kwanza na hiyo technology. After all, swala la loyalty si ni maridhiano tu ya subordinates na superiors wao? Yanaweza yakafanyika maridhiano ndani ya muda huo na pengine yakasolve tatizo bila hata kubadiilisha watu. Ni swala tu la kutafuta na kuweza kuona huo ukosefu wa loyalty unatokana na nini, na ni swala ambao ni wao wenyewe wanaweza wakaulizwa katika utaratibu unaokubalika na wakasema.

Hata hivyo mimi nahisi tatizo kubwa linaweza kuwa ni infiltration, kunaweza kukawa na outsiders wengi sana ndani ya system. Hili ndiyo linaweza kuwa ni chanzo kikubwa kinachoweza kuwafanya hawa watu waonekane kama siyo loyal. Kwa upande wangu mimi kama raia tu wa kawaida, bado nawaamini sana hawa watu, pamoja na mapungufu yao hayo ambayo huwa yanasemwa mara kwa mara. Bado wanafanya kazi nzuri sana na ninawaombea Mungu azidi kuwabariki sana

However, approach yako iko sahihi tu kwa system ambayo ndiyo inaanza from the scrach, na siyo ile iliyopo siku zote ila inahitaji marekebisho ya hapa na pale

By the way, umemsoma pia huyu bwana Wo shi niubi kwenye bandiko lake hili #438
 
Unakosea unaposema MAAFISA WA ZAMANI hawa hawapo walishatolewa na MEKO ila hawa alionao sasa (MAMA SAMIA) ndio wanaoendelea hawa ndio awashughulikie maana yuko nao ndani wanampekenyua wanavotaka.
 
Back
Top Bottom