Zakamwamoba
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 177
- 609
Mwamba ameongelea ethics za TISS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo Ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TISS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa Ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TISS na huku ni mwana CCM.Mkuu unakuwa mjinga kidogo.
Watu wasiporidhika ni vigumu sana kuwanyamazisha...
Hakika,hii ni taasisi nyeti sana,inahitaji watu makini.Zamani hawa jamaa tulikuwa tunaishi nao mitaani miaka kumi lakin huwezi jua ni mtu wa TISS,lakin hawa wa siku hizi aaah tunawajua kabisa na ndio wanaotoa taarifa za ndani za Serikali. Kwa vyovyote vile ukiona taarifa za ndani za Ikulu zinasambaa ujue hatuko salama.Mwamba ameongelea ethics za TIS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TIS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TIS na huku ni mwana CCM...
Wasaidizi wa Rais wana vifaa maalumu vya kunusa hatari,Wanaweza kudetect devices.Kitendo cha mtu kupita pale na Camera wakati walikataza jua hawa jamaa hawako makini.Any time hata Rais angeweza kuvamiwaTecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.
TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.
Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.
Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Mficha maradhi kifo humuumbua
MitanoTena TenaMficha Kifo harufu humuumbua