Slidingroof said:
Inategemea duka gani unanunua Suti pale mfano mwisho wa huo mtaa kuna duka la mtu mweusi wa pili kuwa na duka Savile Row OZWALD BOATENG (jamaa ni mGhana) sometimes ukibahatisha unaweza kupata suti za mpaka paundi 600 lakini usithubutu kuingia Anderson & Sheppard, Dege, Huntsman, & Richard Anderson ...kwa hiyo uwe tayari kuspend about 3 K and above. Pia kuna mafundi wengine Fallan & Harvey ambao naweza kusema have never been on the Row ... but are indeed of high quality kwa hizo hizo Bespoke suits
my favorite has always been Huntsman lakini bei zao kaka utalia maana hupati suti pale bila £4k+ for a 2 piece bespoke lakini kaka pamba yake inakuwa imetulia sana.
Kinachoniudhi na huo mtaa pale kwenye kona kuna duka moja liko so tacky la wa America la ABERCROMBIE kwa hiyo vurugu mtindo mmoja pale nje ya ma teen kujazana nje na foleni zao
SlidingRoof, hebu tuelimisheni sisi wengine, whats so special kuhusu designers collection?, nikiwa huko nilipelekwa Bond Street nikanunua pair of socks kwenye sell kwa paund 10. Nikaonyeshwa duka la Harrods nikaambiwa huko usisogelee kabisa. Jumapili nikapelekwa Shephards Bush, nikakuta zile socks nilizonunua pair moja kwa paund 10, zimefungwa 5 pairs kwa paund 10!, nikajilaumu what a waste!.
Mbona mkitembea Kariakoo, suti zote zenye majina makubwa makubwa, mchina katumwagia kwa elfu 50,000 hansini tuu?!. What diference does it make kuvaa jeans ya Jeane Versace ya Italy na ile Vesace ya Mtaa wa Kongo?.