denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,937
<br />Ningeshangaa kama Ikulu ingekiri hizo habari.
<br />
wameisha kili mangapi na yapi?
<br />Ningeshangaa kama Ikulu ingekiri hizo habari.
unajitahidi..!!Huyo spy aliepeleka habari za suit naona kakosa cha kuandika.
Huyo spy aliepeleka habari za suit naona kakosa cha kuandika.
Huo ni mlana wa babu seya. Kila mtenda maovu malipo ni hapahapa tz.Mbona hapa tz ana nyumba ndogo nyingi tu, ije iwe nje? inawezekana kabisa.
Kwani kichaa anaona aibu kuvua nguo mbele za watu? Litaingia tu,Sijui mwita25 kama ataingia humu! Na sidhani kama atatetea chochote!
Huyo spy aliepeleka habari za suit naona kakosa cha kuandika.
Mhhh kazi kweli kweli..............................WikiLeaks ...............mmh toeni uthibitisho zaidi kumsema Rais wetu kila rahisi rahisi hivyo sio jambo dogo hilo
Ningependa kujua ni suti za designer gani...
[SIZE=-1]
UMAARUFU WA MAFUNDI CHEREHANI WA SAVILE ROW PAMOJA NA SUTI ZAO BEI MPAKA PAUNDI STERLING 10,000 , JIJINI LONDON
Handmade bespoke suit from Savile Row in London for the gentleman can be regarded as the equivalent to an haute couture outfit for the lady from Paris: it is simply the ultimate indulgence and style.
Over the past couple of years Savile Row is seeing an amazing revival. Celebrities such as Sean Connery, Brian Ferry, Michael Caine, Charlie Watts and Tom Cruise all have joined the client lists of some of the most exclusive tailors on Savile Row. Elegant-Lifestyle has therefore visited Savile Row for its readers and has compiled a comprehensive and informative list of the most established names for the famous bespoke Savile Row suit.
The personal tailoring of your bespoke suit will require about 3 fittings and take four to twelve weeks. Prices start at £1,500 to £3,000 for the more famous names and can go up £10,000 for very exclusive materials. The addition of a waistcoat, which elevates the two-piece suit to an elegant three-piece suit will add another £200 to £500. Although all of the addresses listed below do the classic bespoke Savile Row suit, which is handmade,
Source and more info: Elegant-Lifestyle.com: Clothing: Shirts & Suits: United Kingdom: Savile Row's Best Bespoke Suit Tailors
[/SIZE]
Could the same to Ikulu. Ikulu imekosa kabisa cha kutuambia mpaka kutukanushia mambo ya kununuliwa suti? Seriously, there must be important issue Ikulu kutuambia. Sio mambo ya suti. Halafu Ikulu inataka mwenye ushahidi wa tuhuma hizo apeleke Ikulu? Siku hizi pale pamekuwa sehemu ya kuchunguza tuhuma siku hizi? Hivi ukiwa na ushahidi unampelekea tena mtuhumiwa ajichunguze?