Dickson Ng'hily
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 473
- 508
Hapa me nasubir mwisho wake...Tehe tehe tehe tehe....Mziki mtamu...........
Slidingroof,sijawahi kumwona JK akavaa a double brested RR bespoke suit
Kaka mtu akikuchukia hakuchagulii tusi, sasa angalia kuna mdau mmoja hapo juu anaikubali tu hiyo weaklinks kwa kuwa wamarekani wameipigia kelele...!
Kwani vingapi wamarekani wamevitengeneza na wanajitia kuvipigia kelele kuhadaa watu.
taratibu hapo kwenye RED mshahara/posho wa jk una ujua? je ni shillingi ngapi?
kama ukishindwa kuuweka hapa basi umeropoka
lakini pia unaposema ashindwi kwani nani kasema kashindwa? na wewe unaposema anaweza kwa hela zipi?
halali au za kukwapua? kama kuna kipato chochote cha jk cha halali unachokijua kiweke hapa tuone kama kunaweza kumruhusu
kwenye london kwa ajili ya shopping
kumbuka kuna pango, usafiri, mwenza na kadhalika hapo kwa haraka ni £30,000 alizitoa wapi?
hoja hapa ni kununuliwa suti na tariji mmoja,
sio uwezo wa jk, mbona matajiri kila siku tunasikia wamedhurumu nyumba, na yeye ni mmoja wao
tatizo hapa no morally mkuu
sijawahi kumwona JK akavaa a double brested RR bespoke suit
![]()
Slidingroof,
Bespoke suits poa but Abacrombie and Fitch is not tacky! Just a fine casual line.
Can't imagine JK in A&F though
🙂
Wewe usiwe ***** kwani nani alikwambia kuwa hizo Saville Row suits alizohongwa mkweree lazima ziwe bespoke double breasted?
Huyo spy aliepeleka habari za suit naona kakosa cha kuandika.
Fuatilia hapa - https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/5478-salva-rweyemamu-siyo-mtanzania.htmlNi kweli Salva mke wake yuko London?Alijilipua?
lazima umjue MAMA SALMA ANATOSHABaada ya kusoma ile habari ya Ukerewe ndipo nilijua kwamba wikileaks haina tofauti sana na wikipedia - A free encyclopedia which anyone can write or edit anything! - Haya na hizo habari za JK kaoa Burundi sijui Rwanda mbona mke mwenyewe hatumjui?
Wewe huoni shida wengine tunaona ni shidamimi sioni shida kwasababu kapewa zawadi.angekua amenunua kwa hela za nchi hapo ningeongea.
Kwanza Mkandara yuko Canada wake wa rais atawajua saa ngapi sembuse vimada.umenifurahisha sana ! Juzi nipo Bukoba nilionyeshwa mwanamke Jk aliyezaa naye .Wewe ama ni watanzania wangapi wanajua hili?.Masasi Jk ana mtoto na amefanana naye kupita maelezo,Je wewe mkandara unalijua hilo !.Kama hawa mabibi na watoto wake waliopo Tz huwajui wa Rwanda utamjua ..Wake up
sijawahi kumwona JK akavaa a double brested RR bespoke suit
![]()