Hiyo ni kali aisee! That Salva must be out of his damn mind.
Well said! yaani nimeanza kumkumbuka Januari Makamba alikuwa na akili kuliko salva nilikuwa sijajua huyu jamaa anaweza kuwa JINGA la namna hii anafuta namba mbili baada ya JK na hawana hata washauri kwani wangenyamaza ingekuwaje?Kila habari ina umuhimu wake Kiitelijensia, hata hii ya Rwehemamu pia ni muhimu sana na inamtia Rais aibu bila kipimo! Ebu angalia hii "Directorate of presidential communication would like to deny these lies.." sina huakika kama wataalam wa Intelijensia katika Lugha watakosa la kuhifadhi katika hiyo sentensi!
Kwa taarifa yako Bwana Rwehemamu kutumia mamlaka ya serikali kukana shutuma iliyojengwa juu ya mtu binafsi ni mapungufu makubwa sana na na zaidi ni kumdhalilisha muhusika zaidi, na kuonyesha jinsi ambavyo anapenda kutumia mamlaka ya Umma kwa mambo yake binafsi. Hii pekee ni ushahidi kuwa Bwana Mkubwa hana ethics!
Mtu ambaye ana ethics na anajuwa maana ya ethics, alipaswa kujitokeza na kukana hayo mambo yeye mwenyewe au na familia yake, maana hizo shutuma ni zake peke yake na wala haziongelei serikali. Kwa wenzetu hii habari ya Rwehemamu ni vichekesho na kujidhalilisha zaidi maana hayo mambo yote anayoyakana ni mambo ambayo mtu hawezi kuyafanya adharani na ni mambo ambayo mtu anafanya kama mtu mtu binafsi, anayeweza kukana ni muhusika mweyewe maana ni mambo yake binafsi ya siri.
Natabiri yatakayojiri wiki ijayo kuanzia kesho!!!!!!!!!
1. Magazeti ya bongo kuna baadhi yataitoa habari hii, maana is just quoting wikileaks.
2. Magazeti kama habari leo, uhuru nao wanaweza kuja nayo kinamna nyingine ya kuipotosha.
3. Mwanahalisi au raia mwema kama kawaida wataingia deep juu ya habari hii.
4. Habari ikipamba moto kama kawaida wale jamaa wa kurugenzi ya habari ya ikulu watatoa press release kukanusha.
5. Kwa mara ya kwanza watanzania walio wengi watamuona mmiliki wa Kempinski luningani na kwenye magazeti naye akikanusha.
6. Dili ya kuibomoa forodhani hotel (mahakama ya rufaa) kupisha upanuzi wa Kempiski itatangazwa na waziri aidha wa sheria au kigogo mwingine kwamba haipo/ imesitishwa ili kupoteza the suspected link na hii scandal.
7. Huyo the so called Pile kama yupo bongo ndiyo kwa heri hiyo
8. Litaibuka liwaziri au jimwanasheria mkuu kutoa mwongozo kwamba habari kutoka wiki leaks zisichapishwe magazetini maana nyingi zinahusu usalama wa taifa mfano hii ya suti za JK
Hii nayo kaikanusha Salva? Kama hajaikanusha basi ina ukweli au mie nimeelewa tofauti {an event?}1000 for an event in one of the "guestrooms".. mbona imekaa kama matusi sasa?
hahahahaaa! Tuache utani bana, kashfa ya kuhongwa sarawili ni mbaya bana!
Haijalishi!
Lakini Salva hajakanusha mkulu kulipiwa ''his private events in the hotel''
Kama ni kweli hizi news zilikuwa classified na sasa ziko leaked,basi wa kusema ni waongo si cable. Hizi ni intelligence news ambazo rais wa marekani yuko nazo mezani."This cable is as untruthful as it is outrageous. It is full of lies and innuendoes seeking to tarnish the good image and name of the president," Salva Rweyemamu, director of presidential communications, told a news conference on Monday.
Rweyemamu also said the Tanzanian president blocked plans by the UAE investor to build another hotel at the Ngorongoro crater due to environmental concerns.
The Kilimanjaro Hotel was the country's flagship state-owned hotel until it was sold to Albwardy in 2002, under the previous CCM administration. Kikwete came to power in 2005.