Tanzania denies President bribe claims in U.S cable | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kinyungu, Sep 5, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Salva Rweyemamu amekanusha vikali taarifa za Mtandao wa Wikileaks zinazodai kuwa Rais wa JMT Mh. Kikwete alinunuliwa suti tano huko London na aliyekuwa mmiliki wa hotel ya Kilimanjaro Kempinski.

  Bw. Rweyemamu amedai taarifa hizo za Wikileaks ni za uongo na upotoshaji mkubwa na zinazomdhalilisha Rais wa JMT na akasema mwenye ushahidi wa tuhuma hizo aupeleke Ikulu!

  Source: Chanel ten

  Kazi ni kwenu watz!

  NOTE: Thread inayoonyesha kilichoandikwa na WikiLeaks ni hii hapa - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/167075-wikileaks-release-on-tanzania-tanzania%3B-august-2011-a.html

  ======================

  STATEMENT YENYEWE:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]


  More:

  By Fumbuka Ng'wanakilala


  DAR ES SALAAM, Sept 5 (Reuters) - Tanzania's presidency on Monday slammed allegations in a U.S. cable that President Jakaya Kikwete accepted gifts from an investor who also donated $1 million to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.

  A February 2006 U.S. cable published by WikiLeaks said Ali Albwardy, owner of a leading hotel chain in the east African country, flew the Tanzanian leader to London on a shopping trip and bought designer suits for the president.

  "President Kikwete has accepted gifts (bribes) from the owner of the Kempinski Hotel chain's Tanzanian properties, a citizen of the United Arab Emirates," the cable reported.

  "Albwardy had recently flown Kikwete to London for a subsidised shopping expedition. Among other things, on that trip Ali Albwardy bought Kikwete five Savile Row suits. He had also recently made a $1 million cash contribution to the CCM (which is a legal contribution under current Tanzanian law)."

  Albwardy could not be reached for comment.

  Kempinski recently ended its operations in Tanzania, with Albwardy's Kilimanjaro Hotel in the commercial capital Dar es Salaam being managed by Hyatt Hotels since August 1.

  A spokesman for the president's office said Kikwete had never accepted gifts from any investor and denied that CCM was given a $1 million contribution.

  "This cable is as untruthful as it is outrageous. It is full of lies and innuendoes seeking to tarnish the good image and name of the president," Salva Rweyemamu, director of presidential communications, told a news conference on Monday.

  "We would like to state categorically that there has never been a time when the president received gifts from Ali Albwardy," Rweyemamu said.
  "LITTLE GIFTS"

  The U.S. cable comes at a sensitive time for the ruling party as it faces potential political fallout from graft allegations against some other senior members, including a former prime minister.

  In May, donor countries slashed funding pledges for Tanzania's 2011/12 budget, citing concerns about corruption and the slow pace of reforms.

  Some Tanzanian members of parliament recently voiced their displeasure at ongoing talks between the government and the UAE investor on handing over a building occupied by the court of appeal to the Kilimanjaro hotel for an expansion project.

  Albwardy owns three hotels in Tanzania -- the Kilimanjaro Hotel, a beach hotel in Zanzibar and a lodge in the Serengeti national park -- through the company Albwardy Investment.

  The Kilimanjaro Hotel was the country's flagship state-owned hotel until it was sold to Albwardy in 2002, under the previous CCM administration. Kikwete came to power in 2005.

  The leaked files show the former U.S. ambassador to Tanzania, Michael Retzer, was given the allegation about the presidential gifts by a former director of the Kilimanjaro Hotel.

  "Kikwete probably believes there is no harm in taking these 'little gifts' to do what he would have been inclined to do anyway. That said, they are what they are: bribes," the U.S. cable stated.

  Rweyemamu said the former director quoted in the U.S. embassy cable as the source of the information had sent an email to the Tanzanian government dismissing the report as "absolutely not true and a complete load of rubbish".

  Rweyemamu also said the Tanzanian president blocked plans by the UAE investor to build another hotel at the Ngorongoro crater due to environmental concerns.

  "If the president indeed received such generous gifts from Albwardy, how could he have rejected the Ngorongoro project?" He said.

  (Editing by David Clarke)


  Source: Tanzania denies president bribe claims in U.S. cable | News by Country | Reuters
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Mbona yule wa mapank alisema arudi kutoa ushahid wakagwaya, WikiLeaks inatoa vitu vya kweli bwana. Nafikiri ingekuwa vizuri Salva angetuambia idadi za suti design ya huko UK alizonazo JK na alizinunua nyakati zipi na kutoka maduka yapi katika miji ipi duniani? Kwa kufanya hivi nafiri ukanushaji ungekuwa wa kiuhakika!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Na hiyo wikileaks naona ishakuwa weakLink sasa.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  kuna aibu zingine ni aibu hata kuzungumzia

  this tells how they think of us also
   
 5. G

  Greard Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata wamarekani wanakubaliana na wikileak wanaikubali isipokuwa wanalaani kuwa inawapazia. Iweje wewe salva umapinga
   
 6. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,613
  Trophy Points: 280
  bora wangekaa kimya ibaki ilivyo! This is very cheap Salva! Hata mm naona aibu kwa habari hii kumgusa mkuu wetu.iwe kweli au uongo bora wasijibie hili.
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Watu kama Salva wanatuona Watz ni kama mapunguani tunaowaza kwa masaburi ndio maana hawaoni aibu kutoa taarifa zao za kifedhuli mbele yetu.
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Baada ya kusoma ile habari ya Ukerewe ndipo nilijua kwamba wikileaks haina tofauti sana na wikipedia - A free encyclopedia which anyone can write or edit anything! - Haya na hizo habari za JK kaoa Burundi sijui Rwanda mbona mke mwenyewe hatumjui?
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  salva bwana!!!....
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni kitu gani ikulu wamewahi kukubali?
   
 11. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ikulu inapaswa kujibu hoja kwa hoja tena zote pasipo kuchambua na kuamua za kujibu
   
 12. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,136
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Wiki leaks hawawezi kusema uongo.,hiyo kashfa ya kununuliwa suti j.k alipokuwa waziri itakuwa ya ukweli.
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Sio kila kitu kilichoandikwa kwenye wikileaks ni sahihi.
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  1000 for an event in one of the "guestrooms".. mbona imekaa kama matusi sasa?
   
 15. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  How much is you? Wake na vimwana wote wa Jakaya unawajua?
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahaaa! Tuache utani bana, kashfa ya kuhongwa sarawili ni mbaya bana!
  Haijalishi!
  Lakini Salva hajakanusha mkulu kulipiwa ''his private events in the hotel''
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kaka mtu akikuchukia hakuchagulii tusi, sasa angalia kuna mdau mmoja hapo juu anaikubali tu hiyo weaklinks kwa kuwa wamarekani wameipigia kelele...!

  Kwani vingapi wamarekani wamevitengeneza na wanajitia kuvipigia kelele kuhadaa watu.

   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Na sio kila kitu anachosema JK ni sahihi, alisema atawapa waislam mahakama ya kadhi halafu kaonekana aliwaongopea ili kupata kura.
   
 19. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,564
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Duh, Unajua hii kitu watu wengi hawaijuhi, Thanks to IKULU watanzania watafuatilia kuwa kuna nini.
   
 20. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ​Hao viongozi wetu nao wanapenda sana kufanya mambo ya kipuuzi. Wewe mwanaume mzima, tene rais wa nchi unaenda kukubali kununuliwa suti na mwanaume mwingine unatafuta nini? Huo kama siyo upuuzi ni nini? Ngoja wadhalilishwe wakome!
   
Loading...