Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 768
Rais Kikwete na Mmiliki wa hoteli ya kitalii Bilila Lodge Kempinski Bwana Ali Al Bwardy wakifungua kitambaa kuashiria kufunguliwa kwa hoteli hiyo Ijumaa tarehe 10-07-2009. Hoteli hiyo ya nyota tano ina vyumba 80. Baaba ya ufunguzu huo wa pamoja walipeana mikono kuashiria ushirikiano wao umezaa matunda yanayoonekana.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ushahidi wa ushwahiba wa Rais wetu na huyo aliyemnunulia Suti na kisha kuwa mgeni rasmi kufungua hoteli huku kavalia Suti alizonunuliwa naye.
Bila shaka aliwakonyezea wenzake kwamba hizo suti ni mie ndo nimemnunulia yakhe usione anang'aa ndo mie nampaka mafuta.
Nadhani hajirekebishe tu badala ya kukimbia kukana, maana jamaa wana kila aina ya ushahidi ambao una uhakika ila hawataki kuutumia tu. Wenzetu vyombo vyao usalama havibabaishi wala havibahatishi mambo, kabla ya kuitunza walishakusanya kila aina ya ushahidi, akumbuke kwamba maduka na hotel zote za UK zina CCTV na yanatunza kila aina ya tukio na ndege zote zinazoenda Ulaya na Marekani hizi zina watu wanaitwa Air-Marshall ambao asilimia kubwa yao ni makomandoo wa Kimarekani ambao walikuwa sehemu ya ulinzi dhidi ya ugaidi ingawa ndani ndege wanaonekana kama wahudumu wakaida na hata mashika mengi ya ndege nadhani hawajui hilo.
Yeye ashukuru weakleads na CIA kuleak hizo taarifa kabla hajajisahau zaidi ili ajirekebishe pale alipokosea, kuna issue za Qadhaffi nazo nadhni mzee mzima zitakuwa zinampasuwa kichwa sana maana wao wapo kuwanje ya nchni wanafanya mambo kama wapo manzese kwa mfuga mbwa!