endelea kuamini hivyo hivyo utakuja kujua muda umeenda
<script charset="UTF-8" src="chrome://hdv/content/hdv.js" type="application/javascript"></script>
kwa hiyo kuruka na hizo parachute wanataka tuelewe nini hasa? Kwamba makomandoo wetu wapo fiti sana wanaruka kwa maparachute? Eti wanavunja mawe kwa vichwa, ili kumtisha nani? Hivi kweli waliyoyaonyesha yanatosha kujiridhisha juu ya ubora wao? Dunia ya sasa inaendeshwa kwa sayansi na teknolojia hivyo mbwembwe zote hizo ni kazi bure kama teknolojia ipo chini. sikatai umuhimu wa fitness kwa hawa mabwana ila tusiegemee huko zaid hakuna adui atakaye kuruhusu umsogelee daima atataka kukumaliza ukiwa mbali hivyo unapaswa kujipanga na kumkabiri akiwa mbali hivyo hivyo (teknolojia) wenzetu wana ndege zisizo na ruban ili kuhakikisha wanapambana na adui pasipo kuhatarisha maisha ya askar wao je sisi tuna kipi tunachotengeneza wenyewe? Tumeendeleza kwa kiasi gani yale magar tuliyokuwa tuna tengeneza?(nyumbu) Tuendeleze teknolojia yetu haya mambo ya kuruka na miamvuli kuwafurahisha raia hayana msingi ni sifa za kijinga. Wenzetu wanatuchora tu!
Nilitarajia show ya kikomandoo na si acrobatic kama walivyofanya.
!
!
eti makomandoo wanashuka na miamvuli!?......nyambaf
wangetonesha michezo ya kukwepa risasi niwakubali na sio hizi sanaa zao
mkuu jipe moyo tu, tulipeleka watu Sudan, zikaanza kurudi maiti
Uwanja wa vita sio HoneyMoon
Unajua idadi ya askari wa Marekani waliokufa Iraq na Afghanistan hadi sasa? Unaweza ku-google
Unaikumbuka Operation thunder bolt Entebbe iliyofanywa na commandos wa Israel?? Five Israeli commandos were wounded and one, the unit commander,Lt. Col. Yonatan Netanyahu, was killed.
Ilikua poa,tatizo ni yale matofali kukosa cement na zile mbao za plywood zilizotumika.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hasa hasa Uncle Kagame anawachora tu ndo maana akaona upuuzi kuacha kazi zake na kuja kutazama UCHWARA. Naamini hata Museven na Kenyata baadae walijilaumu kwa kuhudhuria. Jk na Vichwa panzi AMKENI.
Mkuu tumia japo akili ya kuzaliwa kidogo,,,hivi wangezikwepa risasi hapo uwanjani unadhani risasi hizo zingeelekea wapi?
Mkuu ile ni Psychological Warfare.Lengo ni kumtisha adui.Kum deter kufanya attack
Dah!!! Watu jf wanafikiri mbaali sana.Haahahaahaa....Sipati picha itakuwaje dah!!!Hahahahaha.....
Kila siku tunaambiwa eti intelijensia yetu ipo vizuri, yaah ipo vizuri kwenye kung'oa watu kucha na meno bila ganzi. Na nadhani ni intelijensia hiyo hiyo ndio iliyomwambiwa mkulu kuwa muungano utalindwa kwa makombora, mabomu na makomandoo wanaoruka na miamvuli kama mbayuwayu halafu wakifika chini wanavunja mawe kwa vichwa. kuishi tz kuona mengi
Huyo adui atakuwa ni mjinga sana kama atatishwa kwa zana ambazo hata yeye anaweza kununua tena bora kuliko tulizonunua sisi.
Mkuu tumia japo akili ya kuzaliwa kidogo,,,hivi wangezikwepa risasi hapo uwanjani unadhani risasi hizo zingeelekea wapi?
ooh kumbe zile silaha tulizo ona pale uwanja wa uhuru jana ndio silaha zote tulizo nazo?.
i thought i was just a sneak peak of what we've in our reserve!.duu.