BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
huyu ndiyo evy , uongo mwingi , utapeli , kusambaza namba za simu , jinsia mbili.......
mods mshughulikieni huyu mtu anatuletea utoto tu humu........
cc; Invisible , Evelyn Salt Dinazarde masai dada Vaislay King'asti
Asante asakuta same; watu wanajipinda kumbe jamaa ana jjnsia zote mbiki
Mara loan board mara mwl mara udom mara mzumbe
Hovyoooooo kabisa
Atakua na matatizo ya kisaikolojia
Na email yake ya emanuel halafu anajifanya mwanamke sijui jamaa mchelemchele au ndo tapeli la mjini
Last edited by a moderator: