Tangu nimpe namba yangu ya simu sina raha.

Tangu nimpe namba yangu ya simu sina raha.

=> #Honey Faith...huyu Evz we hv to bypass the law ya UKEKETAJI...huyu bila kumkeketa HAWEZEKANIKI...sbb ana washwa na kiharage chake kirefuuuuuu....anasumbua mno huyu...ni kutahiri tu huyu atatulia ka maji ya mtungi...!!!

Punguza ukali wa maneno
 
Hiki ni kidume, eti ana masters he he he masters sio makalio kwamba kila mtu anayo
masters hata kuandika hajui, mara yupo loan board mara mwalimu pyeeeeee
Ana hama hama kama zitto amekosa hammer, Leo CDm kesho ccm mtondogoo ACT Mara abadiri jinsia, Mara degree Mara PHd.
 
Kesho nisipokuchemshia maji ya kuoga na kukunyooshea nguo zako za kazini usiniulize tatizo nini

Oh usinifanyie hivyo kipenzi changu. Huyu ni mtoto km nilivyosema awali nilikuwa namsalimia tu.


Just like the old days
 
imepita wiki sasa tangu aniombe namba ya simu. Ni kijana mnadhifu sana, tulikutana kwenye gari nikiwa natoka kazini na kwa bahati mbaya tulikaa siti moja. Aliniongelesha sana mpaka nikatoa namba yangu ya simu. Tangu hapo amekuwa msumbufu kila wakati anapiga simu mpaka saa8 za usiku. Kwa kweli nimetokea kumchukia sana japo hataki kuelewa kuwa simtaki. Imefika stage nimeblock namba yake ila ameamua kutumia lain nyingine. Naombeni ushauri nimfanyeje huyu mwanaume?

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu,,,mi nilijua unapiga story na kina Kanumba ss hivi
 
Oh usinifanyie hivyo kipenzi changu. Huyu ni mtoto km nilivyosema awali nilikuwa namsalimia tu.


Just like the old days

Wewe kwa tabia zako mie sikuelewi elewi kabisa kama umenichoka niambie nirudi kwetu mapema!!!!!!
 
Soon id yake nyingine itajulikana tu...
Aiseee Mwl Evelyn Salt ulishawai kukutana na mwanafunzi wa aina ya mtoa mada?

Duuu aisee namshukuru ASAKute same kwa kumuumbua duu muongo sana yani kila kitu ana fanya yeye.
Hivi huyu si ndio amesema id yake imeharibiwa?
 
Last edited by a moderator:
Nape masudi kipanya kakutengenezea fitina Leo maisha plus
 
Siyaamini mumie yani hapa nilipo presha ipo juu maana hata nyumbani hajarudi au mpo nae tayari?

umejuaje?? Niko naye hapa nampa juice ya ukwaju kaweka nne ! We pika tu ule ufunge na mlango wako kabisaaa leo harudiii!
 
Back
Top Bottom