Tangu nimpe namba yangu ya simu sina raha.

Tangu nimpe namba yangu ya simu sina raha.

umejuaje?? Niko naye hapa nampa juice ya ukwaju kaweka nne ! We pika tu ule ufunge na mlango wako kabisaaa leo harudiii!

Hahaha we mtoto hakyanani utanivunjia ndoa

Just like the old days
 
imepita wiki sasa tangu aniombe namba ya simu. Ni kijana mnadhifu sana, tulikutana kwenye gari nikiwa natoka kazini na kwa bahati mbaya tulikaa siti moja. Aliniongelesha sana mpaka nikatoa namba yangu ya simu. Tangu hapo amekuwa msumbufu kila wakati anapiga simu mpaka saa8 za usiku. Kwa kweli nimetokea kumchukia sana japo hataki kuelewa kuwa simtaki. Imefika stage nimeblock namba yake ila ameamua kutumia lain nyingine. Naombeni ushauri nimfanyeje huyu mwanaume?
Haka kako kama kile Umukagame na post zao za kubuni juzi juzi mara nimempenda kaka wa x wangu mliman city. Mara nimehongwa gari. Sijui ndio vinabalehe maana vinawashwa sana.
 
Kamwe siwezi kukuchoka mpnz nakupenda sana

Just like the old days

Wewe hapo neno nakupenda inabidi uende kufundishwa upya na kiundani maana yake.Wewe ni wakunifanyia hivi?Kweli sitaki kuamini ila poa bwana have a fun
 
Kuna mademu flani na vishkaji hapa jf vinakata stimu za kuingia humu..kama huna cha kupost acha hata tudiscuss mada za zamani..
 
Sasa Emmanuel shida yako nini? kuwa na ID moja inatosha tu au walikuambia ukiwa na ID nyini kuna tuzo? Halafu mwanaume unapotumia ID ya kike sijui tukueleweje? Huendani na jina lako
 
imepita wiki sasa tangu aniombe namba ya simu. Ni kijana mnadhifu sana, tulikutana kwenye gari nikiwa natoka kazini na kwa bahati mbaya tulikaa siti moja. Aliniongelesha sana mpaka nikatoa namba yangu ya simu. Tangu hapo amekuwa msumbufu kila wakati anapiga simu mpaka saa8 za usiku. Kwa kweli nimetokea kumchukia sana japo hataki kuelewa kuwa simtaki. Imefika stage nimeblock namba yake ila ameamua kutumia lain nyingine. Naombeni ushauri nimfanyeje huyu mwanaume?

...nahisi umejitwisha tikiti maji...
 
Ngoja nikupe mbinu yakuhepuka usumbufu kutoka kwa huyo wafu mwenzio, mkubalie muonane ila umpe wiki moja mbele, ndani yahio wiki moja hakikisha papuchi haigusi maji kabisa, iwe kama umeivundika vile, siku yakukutana naye hakuna maongezi mengi yaani moja kwamoja kwakitanda, mpe uhuru afanye yote. Nakuhakikishia utarudi kutupa majibu kama bado anakusumbua. ( UPUNGUZE UJINGA WAKUTAFUTA UMAARUFU JF)

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom