Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,716
- 36,188
Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema.
Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na vifaranga wake, kila mmoja ajilinde.
Ukicheza na ukajawa na amani wakati huu wa hatari ukasahau kujilinda unakwenda