Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,716
- 36,186
- Thread starter
- #41
Yetu masikio , ila masikio pasi uzima hayawezi kusikiaHabari ni nyingi, maiti ya ndugu yake mbunge Arumeru inasemekana ilihifadhiwa mahali pamoja na maiti nyinginezo mbili zilizokutwa na maambukizi, automatically ikawabidi ku cease maiti zote zilizokuwepo kwa hofu ya contamination.
Tatizo huu ugonjwa umetufanya tusahau kwamba kuna magonjwa mengine mengi watu tunatembea nayo na zaidi ya yote, watu wamekuwa wakifariki siku zote.