Tangu hotuba ya Magufuli Chato mbele ya wakuu wa Vyombo vya Dola msitegemee kutangaziwa wagonjwa wapya wa COVID 19

Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.

Matukio ni mengi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatangaza namba ya walio ugua au kufa. Majina, kazini mtu anapofanyia, au ndugu ya nani wala nani (Mdogo wa mbunge wa....) hiyo haitangazwi.
Hao uliowataja wewe na ukujumlisha na wengine unapata hiyo namba ya waliokufa.
 
Sisi kihabari, no news is good news.
P
Msemo huo ulikuwa unatupa wakati mgumu kuuelewa tukiwa form one! Kuna mwalimu wa Kihindi sliyr kuwa anafundisha Kingereza, siku moja katujia ni msemo huo - hakuna mwanafunzi aliye mwelewa na ukiongezea lafudhi yake ya Kihindi anapo tamka maneno ya kingereza ndio ika- complicate mambo zaidi

Mwishowe akatupa mifano akaserma hivi "Suppose anatokea mtu mwongo akawambia kwamba Soko la mjini Bukoba limepigwa radi na watu wengi kupoteza maisha,sasa mkimtuma mtu mwaminifu kwenda kuhakiki kama habsti hizo mbaya ni za kweli au la, akirudi anatabasamu akamuhoji "no news?" akijibu "Yes" unamjibu “is good news" kwa maneno mengine kama hakuna taarifa/habari mbaya basi huyi hiyo ni habari njema/yenye kheri.
 
siku ile mzee alisema tuko vitani. hiyo kauli si ya kawaida. ukiwa vitani maana yake kufa ni muda wowote na si jambo la ajabu. tuendelee kuchukua tahadhari at individual and/or collective level.
 
Msemo huo ulikuwa unatupa wakati mgumu kuuelewa tukiwa form one! Kuna mwalimu wa Kihindi sliyr kuwa anafundisha Kingereza, siku moja katujia ni msemo huo - hakuna mwanafunzi aliye mwelewa na ukiongezea lafudhi yake ya Kihindi anapo tamka maneno ya kingereza ndio ika- complicate mambo zaidi

Mwishowe akatupa mifano akaserma hivi "Suppose anatokea mtu mwongo akawambia kwamba Soko la mjini Bukoba limepigwa radi na watu wengi kupoteza maisha,sasa mkimtuma mtu mwaminifu kwenda kuhakiki kama habsti hizo mbaya ni za kweli au la, akirudi anatabasamu akamuhoji "no news?" akijibu "Yes" unamjibu “is good news" kwa maneno mengine kama hakuna taarifa/habari mbaya basi huyi hiyo ni habari njema/yenye kheri.
Mkuu Bukyanagandi, kila nikilisoma jina lako, namkumbuka Namajeje wa Bukyanagandi.

Last news ya Corona kwa Tanzania ni last Friday, no new case, no new death na watu wanapona!.
Saturday na leo Sunday there will be no news!.
Kwavile last news was good news, and now no news is good news, lets enjoy our weekend, tusubirie news za Monday.

Formula ya no news is good news ni ile ile ya " mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba!"

Laah, haki ya nani wallah! Tunakwisha tunajiona huku tukipiga makofi kuunga mkono juhudi za kutumaliza.
Hivi katika halo kama hii ya kukaa nje ya machinjio kusubiri zamu ya kuchinjwa nani anapaswa kuwaokoa hawa walio amua kujiita wenyewe "wanyonge"? Jee ni WHO? wanapataje habari kuwa halo yetu iko hivi kwa sasa? Au ni JWTZ? vipi kama wako compromised! Au wananchi wenyewe kama walivyo fanya Sudan,Misri nk? Nani awahamasishe waji organize kufanya hivyo?
Halo hii inanikumbusha wakati wa Hitler enzi za NAZI, alikuwa anawakusanya Wayahudi kwa makundi na kuwaingiza kwenye vyumba vyenye gesi wafe nao walijiendea kama kondoo hadi walipo kuja kujua ni wajibu wao kujipigania na kuachana na mtindo ule ambao hata sisi tunao wa "TUNAMUACHIA MUNGU"
 
Hivi corona ikimpiga mmoja wa askari,mfano pale msimbazi ama chang'ombe polisi watawekwa karantini ama wao ni ngangari dhidi ya corona?

Naambiwa corona eti ni kwa watu dhaifu.

Sent using iphone pro max
 
Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.

Matukio ni mengi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ni nyingi, maiti ya ndugu yake mbunge Arumeru inasemekana ilihifadhiwa mahali pamoja na maiti nyinginezo mbili zilizokutwa na maambukizi, automatically ikawabidi ku cease maiti zote zilizokuwepo kwa hofu ya contamination.
Tatizo huu ugonjwa umetufanya tusahau kwamba kuna magonjwa mengine mengi watu tunatembea nayo na zaidi ya yote, watu wamekuwa wakifariki siku zote.
 
Back
Top Bottom