Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

mijanaume ya sasa haina hela.Ila sometimez na sisi wadada tunazidi....utafikiri baba yako huyo! Mi niliyenae mpaka nimefanikiwa kuniposa ni hapo tu....anazo ila nimechunia kama sizioni maana najua akiniweka ndani nitazila mpaka aombe poo.Baba fulani,"nitumie laki 1 mtoto pampers zimeisha,kumbe zipo tele"
Unafikiri tuna tatizo mkuu, tatizo tunatofautiana mentality...

Kwanini pesa za mpenzi wako unazipania eti utazila hadi aombe poo wakati ni za kwenu wote....

Ni zako kuwa na mawazo positive kuhusu mali zake zote na umsaidie kuzijaza mtazila kwa raha. Wanaume wengi tunapenda hivyo
 
nimechangia kusaidia wenye tamaa na vya wenzao wawe na subira
 
Hahahahaaaa..!!! Nimeshangaa mwenyewe jamaa kaombwa buku tatu amekuja kupost JF [emoji23][emoji23][emoji1487][emoji1487]..!!! Kuna watu hii mambo ya 'K' inawachanganya sana hawaelewi ni namba ipi wanaiongelea.
300k=300,000/-
 
Back
Top Bottom