Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
mkiombwa tigo mnakuja kulalamika humu wanaume siku hz tumekua mashetani
ww hata hatujajuana vzr unataka 300k mshaahara wa mwez wa mtu kirahisi kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkiombwa tigo mnakuja kulalamika humu wanaume siku hz tumekua mashetani
ww hata hatujajuana vzr unataka 300k mshaahara wa mwez wa mtu kirahisi kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiniomba tigo na mimi nakuomba wote si tunazo, nakuanza wewe kukula na chupa ya bia alafu ndo uje kwangu nyambafuuu.
 
humo nimo mkuu kwenye kutoa pesa kwa mtu niko makini sana
labda tu kwenye kuitumia mwenyewe hapo ndo nakua careless
helaa yangu niko tyr nkale vzr kuliko kumhonga mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa hawana shukrani hawa unatoa hela mwenzio anagonga bure
 
hivi kwa mfano nimekutongoza hata mchezo hujanipa umeanza kuniomba hela nikakupa siku ya kwanza yapili nikastuka nikawa kimya. ukaendelea kuninipigia sim na text sikujibu.unaendelea tena na tena. nakuelewaje mtu kama wewe?
Unasema?
 
Siku hizi kama mwanamke hakutaki.na hataki.muachane kwa visa yeye anaomba hela tu

Yaani anaomba hela

Na kuomba helaaaa

Wewe mbona huniombi?
hutaki nikimbie?

Na kuomba helaaaaaa

Usipokimbia wewe kidume
 
Ukiniomba tigo na mimi nakuomba wote si tunazo, nakuanza wewe kukula na chupa ya bia alafu ndo uje kwangu nyambafuuu.
Hahaaa,we binti jeuri saaana yaan. Ngoja nije PM nkuambie kitu
 
Unadhani mwanaume ambae anataka awe mune anamfanyia hivyo? Yaani ukiwa unapigwa mizinga ujue mwenzio walaaaah hana mzuka wa ndoa na wewe

Unapigwa mizinga mpaka ukiona namba yake unapata kizunguzungu
Mbona hawaolew sasa,..kulia lia tuu,..na skuhiz idad ni kubwa had inatisha,..acha mjipe moyo,tutaoa wanaojielewa tu
 
Back
Top Bottom