Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

Kuna jamaa yangu yeye kaunda kanuni yake. Akitongoza msichana na akaleta ishu za kuomba pesa basi huyo msichana hujibiwa kwa kuomba papuchi, jibu la huyo msichana juu ya kuombwa kwake papuchi ndo litaamua huo mtanange. At first sikuwa namuelewa ila sasa nimeanza kumuelewa maana mambo ya kuombana 300K from no where, hayavumiliki, na nadhani ndiyo njia inayopaswa kufuatwa na wanaokumbana na mitihani hii. Mfano wa mawasiliano huwa hivii..

Girl : Baby samahani naomba nisaidie laki nina shida

Jamaa : Naomba papuchi nina hamu kwelikweli

Dada : Hee, mapema yote hii jamani. Hata hatujajuana

Jamaa : Nawe mapema yote hii unaomba pesa hata hatujajuana vizuri.

So hapo ni kazi kwa huyo bi dada, na akitaka kujifanya mjanja huishia kukopwa tuu na mzigo unaliwa, Maana huyo jamaa ni player wa kiwango cha lami, hahaahaaa.

Jamaa kadevelop principle zake za ajabuajabu ila zinamsaidia katika hizo harakati zake..! Hizi ni baadhi,

1. Usimlipe mtu mshenzi kwa ustaarabu, ushenzi hulipwa kwa ushenzi.


2. Kama unanunua kitu ni sharti ukione kwanza ndo ukilipie, usije lipia zaidi ya thamani ya kitu husika.

huwa ananifurahishaga sana huyu jamaa.
 
Sio lazima kila mwanamke aolewe na sio lazima kila mwanaume aoe.....

Oksijen ni ile ile

Ila hela mtaombwa tu
Mbona hawaolew sasa,..kulia lia tuu,..na skuhiz idad ni kubwa had inatisha,..acha mjipe moyo,tutaoa wanaojielewa tu
 
Wanawake wamejaa kibao kwanini uumize kichwa na wapiga mizinga hawa. Mimi huwa demu akinipiga mizinga kijinga namna hiyo napiga chini fasta. Aende tu.
 
Kama mwanaume umeshindwa kumuhudumia mpenz wako kwwnye mapenz tu usitegemee utaweza kwenye ndoa !..mazoea hujenga tabia ndo yaleee wadada wanakuja kutoa kilio huku mume hajali familia .
 
Sio lazima kila mwanamke aolewe na sio lazima kila mwanaume aoe.....

Oksijen ni ile ile

Ila hela mtaombwa tu
Mwanamke ni lazma aolewe na mwanaume ni lazma aowe,..ukiona mwanamke anasema hiv ujue ni maneno ya mkosaji
 
Back
Top Bottom