Nimekumbuka mbali sana ila hoja hii --- miska hiyo kuna mdau akauliza mbona fulani na fulani akili na fikra zao zipo sharp na yunakula nao ugali?Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.
Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
Kiporo cha ubwaba na maharagwee na chai ya rangiiUbwabwa..
Kataa Ugali