TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Muendelezo wako wa kesho usisahau kunipongeza kwa utiifu na heshima ninaoendelea kuuonesha kwenye ndoa yangu na marejesho.
Pole sana na karibu tena!

Nahitaji kujua mustakabali wa underground movement yenu na Arabela
 
Last edited by a moderator:
Yeuwo.... Naona umetoka pande za :ban: Baba V ... Ila :welcome:
 
Last edited by a moderator:
Kesi ipo mahakamani Baba V njoo hapa makirikiri bar nipo nakunywa maji baridi

Nilizimiss ndyofu za makirikiri hadi basi, nikifika hapo kwanza inabidi nianze na mzinga mmoja ili kumeukuza jini BAN then ndo niendelee kundyofuka
 
Last edited by a moderator:
Baba V Baba V Baba V njoo nikukumbatie,,,,,,,,,nikuchum shavuni mwaaaaaaaaaa
waliniambia ulilawiti watoto wadogo ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Baba V Baba V Baba V njoo nikukumbatie,,,,,,,,,nikuchum shavuni mwaaaaaaaaaa
waliniambia ulilawiti watoto wadogo ni kweli?

Walikuwa sio watoto, ukienda siasani kuna 'Natural resource' moja hivi ndo niliipa makavu mods wakavuta shati.
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena mkuu.....

Naona chimbivu anakuwangia mapema yote hii....

Ana frustrations mkongo huyo,kakuta Arushaone kavuruga mzigo wake utadhani alikuwa anakanyaga kwa miguu, afu mbaya zaidi kimekatikia, chezea kulea mimba ya chalii mwenzio nini!?? BTW ahsante sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Manaake nimeambiwa nisiingie siasani bila kutekeleza hilo sharti

Bila shaka huyu ni yule mganga wa pale kwenye miembe eeh...
make hili shart hata mie alishanipa,oooh sorry nalisikiaga watu wanasema!!
 
Bila shaka huyu ni yule mganga wa pale kwenye miembe eeh...
make hili shart hata mie alishanipa,oooh sorry nalisikiaga watu wanasema!!

Isije ikawa ulienda kumfunga Slave, mie nilienda kuomba server za jf zisiwe na uwezo wa kunipa Ban
 
Last edited by a moderator:
Papii kocha anasemaje huko?

Back
Top Bottom