Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,343
Isije ikawa ulienda kumfunga Slave, mie nilienda kuomba server za jf zisiwe na uwezo wa kunipa Ban
Hujanambia ulikuwa wapi hadi Bishanga anaomba wa kum boost hapa jamvini. Maelezo yako kurasa tano. Font iwe Times New Roman, size 12