Tangazo la ndoa

Tangazo la ndoa

Najichagua mimi niwe mumeo wa maisha.

naona mnataka kunitafutia matatizo kwa wake zenu; king kan mkewe kanigeuza beki3 wake, slave naye analumbana na mkewe kutoa taraka, kwa chimbuvu napo napewa vitisho na madame B, manoah naye kilasiku anataka nimtathmini bado na wewe tena unataka uniongezee majanga...... Hivi single boys humu hamna?
 
Single boys tupo, sema tu majukumu mengi.....wapi Asnam, nimekumiss
 
Last edited by a moderator:

halafu wee ndio umeanza kuniwekea mikosi humu ndani kila nitakae date naye ni mume wa mtu bora niwe single girl forever nisije zibwa chururu bureee!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom