Tangazo la ndoa

Tangazo la ndoa

Jamani nimerudi course work za watoto nshamalza haya dia Madame B sema neno maana shutuma.za watu nshazichoka
 
Last edited by a moderator:
Mie nilikuwa naangalia tu wafuasi wangu walivyo vicheche, ila nimewaona mko wengi...

me sio kicheche Baba V ninamkosi wa kutongozwa na waume za watu bila kujua.... Sasahivi sitaki tena kutongozwa ili nitulie.
Bora single girl!!!!!!!

Copy kwa mabwana zangu wote na wanaonimendea
 
Bora umegundua mapema kuwa Filipo hana mamlaka ya kukagua mtu humu.

wenye mamlaka ya kufanya ukaguzi ni wafuatao.

babu Asprin kwa wadada
mwamke rijali Madame B kwa wakaka.

ukikubali filipo akukague hakika nyeti zako hazito salia.

Kiongozi mbona tunaingiliana kwenye majukumu!!!!??

kumbee.... Basi sitomkubalia katu!!!

Omba sana upate jicho la kuwaona wapotoshaji kama hao maana watakupoteza! Kumbuka ubishi hautakusaidia kamwe!
 
me sio kicheche Baba V ninamkosi wa kutongozwa na waume za watu bila kujua.... Sasahivi sitaki tena kutongozwa ili nitulie.
Bora single girl!!!!!!!

Copy kwa mabwana zangu wote na wanaonimendea
Kiwowowo tu lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom