Tangazo la ndoa

Tangazo la ndoa

maana nilijua kuwa wewe unafaa sana kukaa na kapu la mahela Filipo, ili baadaye kabla ya harusi na sendoff tuje kuvinjari huku ZNZ waonaje hilo bestito?
 
Last edited by a moderator:

mwenzangu we m bebe tu ukitaka
naona mambo c mabaya!!idadi yaongezeka lol!!
limbwata la njegere na mimi nalitaka mweeeh!!!
 
Jibu swali, maana kuna Chilli, tedo, Chibolo, Chimbuvu, rutta, Shark , kiplagati126, Remote, Ben Saanane, e.t.c, e.t.c, kwa sasa sikufungishi ndoa tena, naongea na secretary wangu mteule ladyfurahia akutengenezee cheti chako maalum cha ndoa binafsi kitakachokuwa na nafasi zilizo wazi ambamo utakuwa unajaza jina la kila mume mpya unayempata bila hata kunishirikisha, utakuwa unanipa taarifa tu.. umenichosha we mwana, mwaka mmoja nimekufungisha ndoa saba, wewe tu....
Copy: watu8, gfsonwin, Kipipi, Ruttashobolwa, Judgement...

Asante mwenyekiti kwa nakala hii nami nimeipokea.

Kwanza kabisa @mt one hana mamlaka ya kutangaza ndoa. alichotakiwa kufanya ni kuandika barua kwa mwenyekiti kwa kusudio la kutaka kufunga ndoa.

Pili Madame B ni mke halali wa chimbuvu na ndoa yao haijawi kuvunjwa na wala hatujawai kuletewa kusudio au maombi ya talaka. hivyo basi mtz one anafanya kosa kumchumbia mke wa mtu.

Tatu mtz one hakuwai kukaguliwa na kamati ya ukaguzi ikiongozwa na babu Asprin

Ushauri wangu kwa mtz one anatakiwa amshawishi Madame B aandike barua ya kuomba talaka kwa Chimbuvu.

Hakuna ndoa juu ya ndoa.

Kwa mamlaka niliyo nayo natangza rasmi kuwa hili tangazo la ndoa halijakidhi vigezo na masharti.
 
Last edited by a moderator:
Jibu swali, maana kuna Chilli, tedo, Chibolo, Chimbuvu, rutta, Shark , kiplagati126, Remote, Ben Saanane, e.t.c, e.t.c, kwa sasa sikufungishi ndoa tena, naongea na secretary wangu mteule ladyfurahia akutengenezee cheti chako maalum cha ndoa binafsi kitakachokuwa na nafasi zilizo wazi ambamo utakuwa unajaza jina la kila mume mpya unayempata bila hata kunishirikisha, utakuwa unanipa taarifa tu.. umenichosha we mwana, mwaka mmoja nimekufungisha ndoa saba, wewe tu....
Copy: watu8, gfsonwin, Kipipi, Ruttashobolwa, Judgement...
Na bado ukiacha sisi 20, anatafuta na wengine https://www.jamiiforums.com/love-connect/391805-je-unafaa-kuwa-mume-ingia-hapa-kisha-jipimie.htm
 
nimesema sitaki kukaguliwa na nyinyi mbona hamnielewi? Msipo ni kagua nitakuwaje?

Bora umegundua mapema kuwa Filipo hana mamlaka ya kukagua mtu humu.

wenye mamlaka ya kufanya ukaguzi ni wafuatao.

babu Asprin kwa wadada
mwamke rijali Madame B kwa wakaka.

ukikubali filipo akukague hakika nyeti zako hazito salia.
 
Last edited by a moderator:
Ila wewe biashara yako nimeipenda kwa vile ni endelevu, sio kama Kinana..

Ume-note eeh? Afu kwa taarifa yako biznez inaendelea kama kawa ila gari nimebadili natumia ya yule adui yake na lema. Nadhani sitom-mention!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom