Tangazo la ndoa

Tangazo la ndoa

Wakuu kwa mara ya kwanza napenda kutangaza ndoa kati ya mtz one na Madame B hivyo yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii ajitokeze nawasilisha

hivi kwenye hiyo sacos wewe utakua mwenyekiti au katibu maana naona una mbwembwe sana.
 
Last edited by a moderator:
Madame B nyota ya jaa imekushukia tena hiyo,
hivi masharti yako anayajua huyu mume wa sasa hivi kweli.
 
Last edited by a moderator:
hii sikuwa nimeiona. Madame B ..........hongera tena. sasa kitchen party lini?
 
Last edited by a moderator:
mh! Wahusika lazima wote wawe na mikopo...
Except mweka hazina Madame B yeye ndo anahifadhi ila hao wengine ni providers
stevoh........... Mie mwenyewe nina hisa zangu kwenye ndoa zangu.

hii sikuwa nimeiona. Madame B ..........hongera tena. sasa kitchen party lini?

Asante Shosti Paloma.............. Ndoa mwezi wa 6... Arushaaaaaa
Ila mie ntabaki Kino kwetu, na yeye ataenda Ar kwao.
 
Last edited by a moderator:
Madame B



Join Date : 9th April 2012

Location : KINO CLAIN

Posts : 12,561

Rep Power : 28605

Likes Received 8148





mtz one

Join Date : 25th December 2012

Location : TIMBALYOSI
Posts : 1,103
Rep Power : 4145

Likes Received 123

Sasa hapo nani mtoto?

hahaha!! Mtoto si huyu wa chini namuona anatambaa wakati mwenzake yuko juu anakimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom