kimenuka..Lady doctor hebu niambie...... Chimbuvu ni nani kwako kabla sijafanya uamuzi mgumu.
Na wewe Chimbuvu,....kuja huku haraka.
Madame B tafwadhali usiniingilie kwenye anga zangu... Hebu nenda kafunge ndoa huko...... Unasubiriwa kanisani
Yes mpenzi wangu huyo,luv u mwaaaaa
mwambie wewe maana mm kaniona kuwa nataka nimletee majanga buure
Koh! Koh! Koh!
vp tena swt.. Unamla nini... hapo?
unapokohoa funga mdomo itakuwa ni jambo la kiustaarabu zaidi, ukiona umezidiwa uje nikupe dawa
Ni special order mupenzi yangu
Alikuja jana kuomba ushauri
Yes mpenzi wangu huyo,luv u mwaaaaa
Si nimeshakwambia tayari kuwa ndoa zako zimenichosha..... au unatakaje!!!!!???
Unataka nikutake ili uuze gazeti...!!!