Jamani mbona mwaniharibia tena
Lady doctor?
............:shock::shock::shock:.........
Dah!!!!!!!!!
Haya Bhana!!!!!!
saudari, niharibie tu.
Ni mwanaume tena Rijari.
Acha wenge
nitonye, we mwenyewe unanitaka.
Tuko 8 tu Shoga,.......Mitala tamu.
Dada
ladyfurahia, hata nawe waiponga ndoa yangu?
.................:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:..........
Hahahaahaaaa............. Tutaenda sawa tu, Mpaka kieleweke Shoga.
Bunduki ipi sasa, Original or Fake?
Mke mwenza X, mume nimekuachia lakini bado wanitakiani,..... Mweeee
Ntamrudisha my X kwangu.
Madame B mimi hapa,........
Utakuwa matron wangu siku ya harusi yangu
Smile.
.....Una kadi langu la Clinic
Ngalikihinja?
au nawe wanivizia?
..........Ndo ushanikosa hivoooooooooo.
Na wewe usijishaue,.........
Utaachika kabla hata hatujafunga ndoa
mtz one.