Tangazo la kupotelewa!

Atakuwa salama tu, anahangaika na mtori ili aje aanze kwenda gym kihalali

Kuna mpwa wangu alienda kujifungua sijui alifikishwa salama na Ambulence maana alitoka hapa tupo liko kwenye meno analia mtoto anataka kutoka sasa sijui na sema sijui huyu kama alifika salama maana hizi hospitali zetu za wilaya na ambulance ni bajaji natia shaka!!Nani mwenye taarifa za mpwa wangu huyu mwenye jina DASOPHY???
 
Hata mie ningeshangaa TB + AshaDii = Simultaneous equation 1

Ni kama bia na udongo unaoliwa na wajawepesi

LOL Hiyo haiwezekani kama Tambi na mboga ya majani....AshaDii nipo naye hapa katulia tu:lol::lol::lol:
 
Kuna baadhi ya sehemu zake zilikatiza mitaa ya manzese nikaziambia zije kwako. Hazikufika?

umemwona sehemu? anapenda sana kwenda saluni pale kwa kopa ila siijui ni ipi hasa:shock:
 
Kwa habari za kiintelijensia, amefungia na nyumba ndogo. Namalizia uchunguzi.
 
Kweli huyu mheshimiwa ameadimika kidogo,
Jaman popote alipo kwa atakaye mwona amwambie kuna tangazo huku!
Najua kuna watu watakuwa wanataka kuimarisha maujanja ya small haoc dah!!!
 
Back
Top Bottom