Tangazo la kupotelewa!

Tangazo la kupotelewa!

khaaa ur Sisy mbona hana tatizo...huwa siku zote tuko tayari kwa wageni...so worry not,,,unapita njia gani....
Poa broda,
Hapo sas inabidi unikumbushe jina la kituo lol!
Si unajua kwenu huko uzunguni,ili nikishuka pale nichuke tax mpaka hapo hm!
 
Poa broda,
Hapo sas inabidi unikumbushe jina la kituo lol!
Si unajua kwenu huko uzunguni,ili nikishuka pale nichuke tax mpaka hapo hm!

haaaa,,,jamani kituo hukijui? au nikufate kabisa....si bado upo maili mbili kibaha?
 
Nimeshaondoka nakuja mjini huko, ndio nakaribia kimara mwisho inabidi tukutane ubungo Broda.

ahaaa....sawa kumbe umeshajua kutabiri lol

mwambie babu mleo utalala kwetu kabisa...walau hadi wimbi la mwisho wa mwezi liishe

naona na yeye soon atatolewa tangazo la kupotea
 
ahaaa....sawa kumbe umeshajua kutabiri lol

mwambie babu mleo utalala kwetu kabisa...walau hadi wimbi la mwisho wa mwezi liishe

naona na yeye soon atatolewa tangazo la kupotea
Habari zimfikie popote alipo,
Nahamia kwenu mpaka katikakti ya mwezi ndio tutaonana,
Kwa maelezo zaidi awasiliane na ww lol!
 
Habari zimfikie popote alipo,
Nahamia kwenu mpaka katikakti ya mwezi ndio tutaonana,
Kwa maelezo zaidi awasiliane na ww lol!

ewaaa..mi ndo bosi wake...na hapo katikati ya mwezi ni kwa ruksa maalum ya dadako na miye
 
ewaaa..mi ndo bosi wake...na hapo katikati ya mwezi ni kwa ruksa maalum ya dadako na miye
Haa haaa haaa,
Km vipi mpaka mwakan!
Na pale jiran kwenu kuna jamaa alishatangaza nia nikamwambia asubiri mwakan,
Nikirudi kwa babu narudi narudi na mchumba na mahari nyie mshapokea lol!!
 
Haa haaa haaa,
Km vipi mpaka mwakan!
Na pale jiran kwenu kuna jamaa alishatangaza nia nikamwambia asubiri mwakan,
Nikirudi kwa babu narudi narudi na mchumba na mahari nyie mshapokea lol!!

duh...babu ODM atakufa kabla ya wakati wake...,mdogo mdogo inatakiwa lol
 
duh...babu ODM atakufa kabla ya wakati wake...,mdogo mdogo inatakiwa lol
Babu hawezi kufa ila itabidi mjiandae kumpa mgao wake hapo ndio itakuwa patashika!
Hata hivyo kwa rundo la wajukuu alionao atafaidi mahari za hao wengine,
Na nyie mfaidi japo mahari yangu lol!
Hapa ni speed kali tu,yy nilitaka kumpelekea mchumba akamtilia hila mpaka akagairi!!!
 
Kuna mpwa wangu alienda kujifungua sijui alifikishwa salama na Ambulence maana alitoka hapa tupo liko kwenye meno analia mtoto anataka kutoka sasa sijui na sema sijui huyu kama alifika salama maana hizi hospitali zetu za wilaya na ambulance ni bajaji natia shaka!!Nani mwenye taarifa za mpwa wangu huyu mwenye jina DASOPHY???

Nshomire nahisi huyo mdada yuko kwenye drip ya PITOCIN atatoa sauti tu, ikikolea
 
Back
Top Bottom