Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
- Thread starter
- #41
Umenifurahisha kuna kibao cha mtu huru cha kaka Mpoto! Bonus truck
Cc: mkuu BAK
so tuko wangapi siku hizi wewe haikuhusu?
Hainihusu kabisa hata mwallu analifahamu hilo!
mamboya one night stand ndo yanashabikiwa thiku hizi thatha wanapima saa ngapi brazaaaa
Basi kumbuka kutumia zana kwa kila shamba ulimalo...!
Last edited by a moderator: