Tanga kwetu raha

Tanga kwetu raha

Majira Kama haya ya sikukuu wenzetu kule Kaskazini wengine wanaenda na Magari Yao binafsi hadi vijijini ndani kabisa, sasa jaribu kwenda na Gari binafsi Tanga Kwenye kijiji cha mama yako Au baba yako uone!

Aisee...Hizi kweli akili njema!
 
Nawashauri ndugu zangu wa Bara Tanga sio sehemu salama ya kuchukua mke ila kama umefata cha kupoozea makali sawa ila wife material huku hakuna...... mimi binafsi nipo hapa tanga nimetokea moshi.
Mkuu mbona nasikia Tanga ndo kuna wake wazuri wenye mapenzi na upendo mapenzi yalipoanzia
 
Na pia wanawake wa Tanga ndio wanaongoza kwa kupendwa na kuolewa na wanaume wa mikoa mingine kwa Tabia zao na kujua kupika kwao
 
Kati ya mikoa niliyo na historia nayo basi ni Tanga.

Anzia Amboni nenda hadi raskazone nyooka mikanjuni,sahare pongwe,usagara.

Kuna mzee mmoja pale mwembe wa(nimeusahau jina) Chumba geni alikuwa anauza miwa nilizinguana na konda na dereva akanisaidia nimerudi baada ya miaka sita nikamkuta nadhani hadi sasa kama hajafariki atakuwepo pale.
Muembe mawazo huo
 
Nawashauri ndugu zangu wa Bara Tanga sio sehemu salama ya kuchukua mke ila kama umefata cha kupoozea makali sawa ila wife material huku hakuna...... mimi binafsi nipo hapa tanga nimetokea moshi.
Nyie si ndio wake zenu walikuwa wanakodisha wanaume nchi jirani?
 
Na pia wanawake wa Tanga ndio wanaongoza kwa kupendwa na kuolewa na wanaume wa mikoa mingine kwa Tabia zao na kujua kupika kwao

Ni Kweli kabisa @ Mkuu!
Pia wanawake wa Tanga ni wenye nidhamu na staha!
Ni wakarimu!
Wanamipaka ktk kuongea!
Siyo Manunda Kama wale kutoka kanda maalum (Kanda ya ziwa), Nyanda Za Juu kusini (Mbeya), kanda ya Kaskazini original n.k!
Ukioa mwanamke wa kitanga ni amani na upendo na heshima!
 
OTE="akilinjema, post: 24791217, member: 380131"]Majira Kama haya ya sikukuu wenzetu kule Kaskazini wengine wanaenda na Magari Yao binafsi hadi vijijini ndani kabisa, sasa jaribu kwenda na Gari binafsi Tanga Kwenye kijiji cha mama yako Au baba yako uone![/QUOTE]
Michawi sana hii mijitu
 
MajituUOTE="akilinjema, post: 24791144, member: 380131"]Tanga ukifanya chochote cha maendeleo unalogwa!
Ukijaribu kujenga Nyumba wata kurogwa Au wakuharibie kazi Au Biashara unayofanya inakupa pesa ili ukwame[/QUOTE]
Majitu ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom