Tanga kwetu raha

Tanga kwetu raha

Tanga Ndunia bwana ukimisikia mdigo akiwa anaongea ananipa raha sana, sasa ukutane na ubish wa msambaa hata kama hajui kitu utafurah wewe.
Kati ya mikoa niliyo na historia nayo basi ni Tanga.

Anzia Amboni nenda hadi raskazone nyooka mikanjuni,sahare pongwe,usagara.

Kuna mzee mmoja pale mwembe wa(nimeusahau jina) Chumba geni alikuwa anauza miwa nilizinguana na konda na dereva akanisaidia nimerudi baada ya miaka sita nikamkuta nadhani hadi sasa kama hajafariki atakuwepo pale.
 
Ahahaha wabongo hamkosagi kukosoa hadi sura zenu mnazikosoa.

Tanga nitakuwa mwenyeji wako.

Sehemu kama Bousnea ushewahi kufika kwasasa hii sehemu inakaliwa na matajiri wakubwa hapa Tanga V8 BMW ndio gari zinazoingia huko huwezi ukaingia katika Jiji la Bousnea ukakuta Noah wala takataka nyingi ulinzi wakutosha muda wote.

Kwenye viwanja vya kupumzikia Vya Tanga park siku za weeks ndio sehemu pekee ya kupunguza strees utakutana na manzari yakuvutia na tulivu.

Home sweet home
 
Kati ya mikoa niliyo na historia nayo basi ni Tanga.

Anzia Amboni nenda hadi raskazone nyooka mikanjuni,sahare pongwe,usagara.

Kuna mzee mmoja pale mwembe wa(nimeusahau jina) Chumba geni alikuwa anauza miwa nilizinguana na konda na dereva akanisaidia nimerudi baada ya miaka sita nikamkuta nadhani hadi sasa kama hajafariki atakuwepo pale.
MWEMBE MAWAZO
 
Nipo tanga kwa sasa kwenye mishe zangu,hawa jamaa wa huku,wanawake kwa wanaume wote kiswahili lainiiiiiiii! Unaweza jua wote wana,,,,,,,,,,e؛
-wanajisikia sana mtu unamuuliza kitu anakujibu kama hataki.
_wakiwa mikoa mingine wanawake full kutoa papuch,sijui huku kwao,maana mpaka sasa sijala papuch za huku,nikiwa huku.
Nyie wanaume wa tanga hebu ongeeni kiume,wantariza ndio nini sasa?
Madame s,na wengine wana jf mliopo tanga mbona kimyaa?
_wanafanya biashara kama hawataki vile.
Bado nipo huku mpaka mwaka ugeuke,nikiona mizinguo nasepa fasta,weekend nakwenda pangani.
 
Mwenye ramani ya tanga,mambo yetu yalee ya kwenye jukwaa la chini kabisa,yaani jukwaa la watoto yanapatikana wapi hapa tanga mjini,
cc lokiyo na wengine.
 
NIMEPENDA HYO SHULE YA 'TANGA TAKE'

UANDISHI WAKO UNADHIHIRISHA TATIZO LA ELIMU TANGA HASA KWA WATOTO WA KIKE AMBAO HUFUNDISHWA MAPENZI KULIKO MAMBO MENGNE

ANYWAY, MADEMU WA TANGA WAPO VZURI KWENYE MAMBO YETU YALEE
 
Nipo tanga kwa sasa kwenye mishe zangu,hawa jamaa wa huku,wanawake kwa wanaume wote kiswahili lainiiiiiiii! Unaweza jua wote wana,,,,,,,,,,e؛
-wanajisikia sana mtu unamuuliza kitu anakujibu kama hataki.
_wakiwa mikoa mingine wanawake full kutoa papuch,sijui huku kwao,maana mpaka sasa sijala papuch za huku,nikiwa huku.
Nyie wanaume wa tanga hebu ongeeni kiume,wantariza ndio nini sasa?
Madame s,na wengine wana jf mliopo tanga mbona kimyaa?
_wanafanya biashara kama hawataki vile.
Bado nipo huku mpaka mwaka ugeuke,nikiona mizinguo nasepa fasta,weekend nakwenda pangani.
Tanga ya ajabu sana, nimeishi huko miaka mi5, kuhusu wanawake wazuri wapo sana ila ukitaka kumpata had I utumie Dalali. Wamama wa saloon au taxi drivers. Hivi hivi hupati
 
ahahaha pole mkuu, itakua unadomo kila 50, mbona watoto wa Tanga wapo simple.
 
Back
Top Bottom