Tanga kwetu raha

Tanga kwetu raha

Mimi siyo mzaliwa wa Tanga, ila nimeamua kumalizima maisha yangu Tanga. Nimejenmga Tanga. Nimezunguka mikoa kadhaa ingawa si yote lakini hakuna Mkoa wenye hali ya hali nzuri kama Tanga. Wilaya za Tanga, Mkinga, Muheza, Pangani, Korogwe na Lusho wanapata hadi misimu mitatu ya mvua kwa mwaka. Ni mkoa ambao upo free namagonjwa mengi. Unaweeza kukaa Tanga hata miaka kumi usiugue Malaria wala typhooid. Nipo mikoani kwa sasa kwa ajili ya kazi lakini naendelea kuimarisha makazi yangu Tanga.
 
[QUOTi="nasmapesa, post: 24806377, member: 237856"]Nyie mkae kimya kabisa,mnatia aibu sana mnawakimbia waume zenu kisa dushe.[/QUOTE]
Hiyo ilikua propaganda ya kisiasa
Hebu peleka hiyo 0712 yako uone itavyoshulikiwa
 
Sitak kusifia mengine hayo ya uchumi ila ntasifia tu papuchi za wadada wa tanga..
So far nimeshapewa papa na wadada wawili wa kitanga, huyo mmoja sijui tu had leo najiuliza papuchi yake ilikua na nini jinsi ilivyokua tamu had nkawa nachanganyikiwa halaf anavyolalamika kwa sauti flani siwez kuielezea ..dah ..halaf yuko simple tu hana makuu, sio kama vijidada vya dar wanajishaua hata kuitikia salamu tu kumbe hamna kitu kitandani ovyo ..
 
Mijinga sana
Matusi ya nini tena, Njoo Tanga tukufundishe usaarabu. Watu wa Tanga hatukuzoea tabia kama izo. Muda wote ukitembea katika jiji letu hakuna vibaka wala majambazi, Tanga ndio sehemu salama ya kufanya biashara, na ndio sehemu salama yakuekeza, wauza chips wale wa balabalani wanauza hadi saa 10 usiku, muda wote ukiingia katika JIJI letu uhakika wakupata chakula upo, na hotels zote zipo wazi muda wote 24/7. Karibu sana Tanga.



Home Sweet Home.
 
Nimeipenda hiyo shule ilivyoiandika eti!!!! Tanga take
 
Mta

Mtabaki maskini hivyo hivyo kwa akili mbovu hizi
Watu wangekua wanafikiri hivyo kungekua na maendeleo duniani?
Elimu elimu elimu
Nyie matajiri mnaishi Dunia tofauti na yetu kwani? ila pamoja na majivuno yenu M/Mungu katuweza maana tajiri na masikini .....wote kunya
 
5d3f28e2cc52c365abd89344a1fc6b87.jpg
 
Back
Top Bottom