Tanga kwetu raha

Tanga kwetu raha

Msiifananishe Tanga na vitu vyakipuuzi ww unaesema Tanga kuna vibanda vya Nyasi ulifika tanga miaka ya 70.

Siku ukipata chance njoo Tanga ujekujionea Jiji letu lilivyo-endelea.

Home Sweet home.
Nipo Tanga nyumba za nyasi Ushirikina umekidhir hakuna maendeleo yoyote mna wivu hampendi kuona mtu kafanikiwa
 
Ukinitajia sehemu ambayo haina nyumba za nyasi Tanzania hii naenda kesho central kumpiga kofi I.g.p wetu
 
unamatatizo ngoja nikuache wala sikuopoi.
kijana nipo hapa korogwe mtaa wa lwengera huku kwa wazigua nyumba za tope wameezeka na nyas acha kuongopea watu kuna mashamba mazur hayalimwi ndio nimekuja kamata fursa kijana nyie wavivu na mna roho za kwa nini..... mnachojua ni kugegedana na vigodoro
 
We acha uongo,lwengera unayoizungumzia wewe ni ya nchi ipi?kama ni ile nnayoijua utakua muongo ulietukuka,lwengera watu wanalima mahindi hatari,wanaume wanatembea na gunia za mkaa kwa baiskeli karibu km 60 kila siku kutafuta riziki bado unasema hawajishughulishi?anzia darajani mpaka manundu watu wazigua wanalima balaa
 
Mashamba si haya huku meupe na maji mtoni yanatiririka wew unaongelea kilimo cha msimu mikaa ipi wanauza njoo huku mwezi wa 4 uone wanavyolia njaa kama unanyege zako ugegeda hadi wanaume na vijana wa huku ni wezi asilimia kubwa na akiwa na 2000 mfukoni hataki kazi acha sifia ujinga mim naishi nao huku ndugu
 
Sitakaa nisahau nikiwa usagara sasa jamaa usiku wakasikia sauti za baikoko wakaamua waifuate maana hostel za pale park garden hazina fence, jamaa wakaifuata sauti mpk barabara ya 17 ila baikoko hawaioni ikabd warudi na kulala mpk asbh.....ila Tanga. raha kwanza tumeumbiwa umwinyi na sio utumwa tunaishi tunavyotaka, maduka ya Tanga waeka fridge nje la lala hapohapo hamna wezi.
Big up Tanga jiji langu
 
Mashamba si haya huku meupe na maji mtoni yanatiririka wew unaongelea kilimo cha msimu mikaa ipi wanauza njoo huku mwezi wa 4 uone wanavyolia njaa kama unanyege zako ugegeda hadi wanaume na vijana wa huku ni wezi asilimia kubwa na akiwa na 2000 mfukoni hataki kazi acha sifia ujinga mim naishi nao huku ndugu
n kweli mkuu hawa watu n wavivu hatar
 
Msiifananishe Tanga na vitu vyakipuuzi ww unaesema Tanga kuna vibanda vya Nyasi ulifika tanga miaka ya 70.

Siku ukipata chance njoo Tanga ujekujionea Jiji letu lilivyo-endelea.

Home Sweet home.
tanga yoote naijua Hansen,kilind,lushoto,pangan,muheza,nyie n uvivu na kucheza baikoko tu
 
Kwa jinsi wanaume wakichaga mlivyotuabisha tunatamani kujitoa kwenye huo ukaskazini hata kesho,hivi kweli wanawake wanakimbia nchi jirani kutafuta muhogo kweli jamani
ile ilikua propaganda ya kisiasa tu
kama hiuamini hebu peleka hilo jicho lako uone litakavyogaragazwa
nyie c MNA tabia hiyo? maana tanga waarabu wengi
 
Back
Top Bottom