jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
tanga n ya mwisho kila idara kulinganisha na mikoa ya kaskazn
hawa wanapaswa kua pwani
hawa wanapaswa kua pwani
Kila siku Tanga raha, Tanga raha, raha gani? Maneno mengi sana hawa watu, kazi yao kubwa vigodoro, uvivu/umwinyi mwingi, vichwani wanawaza kugegedana muda wote, hamna kitu zaidi ya porojo tu za kusadikika.
Maduka wanafungua saa nne, saa sita wanafunga. Hilo bomba litanufaisha wageni tu
asante mkuu hii mijitu inaaibisha kaskaznKila siku Tanga raha, Tanga raha, raha gani? Maneno mengi sana hawa watu, kazi yao kubwa vigodoro, uvivu/umwinyi mwingi, vichwani wanawaza kugegedana muda wote, hamna kitu zaidi ya porojo tu za kusadikika.
Maduka wanafungua saa nne, saa sita wanafunga. Hilo bomba litanufaisha wageni tu
unachekesha,nyie wavivu MNA uchumi gani? kaz yenu baikoko tuHakuna cha maana? we una matatizo si bure,hebu jaribu kugoggle uijue vizuri Tanga haswa kiuchumi usiongee kama umekatwa kichwa,nakukumbusha tu bakhresa upande wa matunda anatutegemea sana
Ndio nimefika muda huu Dada.emmyta shunie lady aj madame b mmefika viunga hivi
tanga n ya mwisho kila idara kulinganisha na mikoa ya kaskazn
hawa wanapaswa kua pwani



Boss ni shida kwa kweli mi nimekuja juzi kusalimia nilipita pale pande za maktaba kule forodhani pamechoka na totoz hakuna kabisa wa kutishaMwenye ramani ya tanga,mambo yetu yalee ya kwenye jukwaa la chini kabisa,yaani jukwaa la watoto yanapatikana wapi hapa tanga mjini,
cc lokiyo na wengine.
Piga jiwe paka anaetembea juu ya bati mchana usiku hulalingoja tusikilize mastori ya tanga...
Zamani kwetu tulikuwa tunaaminishwa eti tanga hata ukipiga teke kifuu cha nazi kinakuongelesha na kukupiga mikwara, hapo hujamgusa paka ndio balaa.
hayo mambo yalikuwepo au tulilishwa matango pori.

Sio kweli tatizo ni kwamba watu wa Tanga ni wastarabu sana kiasili lakini endapo utawachokoza figisu wanazimudu sana 700% Chukua mkewe utachakaa tongoza watoto wa kitaa ukikala kamekuponza wadharau Kwa kujifanya mjuaji wa mjini wewe utakiona tu na adhabu yao kuu wanakimbilia kukuporomosha kifedha bila kujua na utaporomoka tuTanga ukifanya chochote cha maendeleo unalogwa!
Ukijaribu kujenga Nyumba wata kurogwa Au wakuharibie kazi Au Biashara unayofanya inakupa pesa ili ukwame

Nenda maeneo ya majani mapana pale shuleni karibu na uwanja wa shule kuna sehemu wanauzaNimegeuka Juzi home Tanga asee natatafuta Walau chemba nipige kitimoto na Maji safi kidogo wapi mji mzima bar unatafuta kwa Torch i hate Tanga, Kuzama mkwabi hii supermarket mpya Ndo nakutana na Maji safi nkanunua na kushusha na nyama ingine tu pale nje, Wakuu wapi ntapata nguruwe apa Tanga mjini?