jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
nyie kweli hamnazo kichwani,yan hadi karne hii ujamaa? ndio maana mtaendelea kubaki maskini hivyohivyoTanga yetu! Tanga ya asili ya watu waso kisirani .... Njoo Tanga uujue ujamaa
nyie kweli hamnazo kichwani,yan hadi karne hii ujamaa? ndio maana mtaendelea kubaki maskini hivyohivyoTanga yetu! Tanga ya asili ya watu waso kisirani .... Njoo Tanga uujue ujamaa
ofcource maana ktk kaskazn nyie mpo mwisho kila idaraSawa tumekuelewa mkuu sisi ni wavivu
mkuu kama upo akilin kwangu vileWatu wa hovyo hovyo ni watanga na pwani sijawai kuona
Huo upo hadi leoTanga raha bwana,hata ulw muembe uliofanana na hayati mwalimu nyerere si ulikuwa Tanga.
!Siku hizi wanasema waja leo kurudi majaaliwaWaja leo warudi leo? Sogea gari laja.
Kwetu utajiri wa maana ni Roho(pumzi) tu mengine yote ya kupitanyie kweli hamnazo kichwani,yan hadi karne hii ujamaa? ndio maana mtaendelea kubaki maskini hivyohivyo
Kwa jinsi wanaume wakichaga mlivyotuabisha tunatamani kujitoa kwenye huo ukaskazini hata kesho,hivi kweli wanawake wanakimbia nchi jirani kutafuta muhogo kweli jamanijibu hoja ya msingi we mcheza kigodoro
tanga mnaaibisha kaskazn wavivu nyie
Watu wa Tanga walitafuna jicho nini?tanga ndio inaaibisha kanda ya kaskaxini
mnatakiwa muwe kanda ya pwani kwa wavivu wenzenu
ktk kaskaxini,tanga ndio ya mwisho kila kitu
Hakuna cha maana? we una matatizo si bure,hebu jaribu kugoggle uijue vizuri Tanga haswa kiuchumi usiongee kama umekatwa kichwa,nakukumbusha tu bakhresa upande wa matunda anatutegemea sanaZaidi ya kugegedana hakuna kingine cha maana Tanga.
Tanga kuna mijitu mivivu kuangalia mpira uwanjani MTU anaenda na jamvi kulala hawezi tizama dakika 90 bila kulala

HahahahahahahTanga kuna mijitu mivivu kuangalia mpira uwanjani MTU anaenda na jamvi kulala hawezi tizama dakika 90 bila kulala