Okay nimekusikia mummy ake,ila mm nimewahi kuishi Handen kama mwaka hivi sikufichi toka nimezaliwa sijawahi kuona kuku mweupe ila kule karibu kila familia walikuwa na kuku mweupe na ukiuliza unaambiwa wa dawa,inshort nilichokiona kule vijana wengi wanaamini mambo ya kishirikina sana,unaweza kupishana na mtu kidogo tuu ila yy tayari anakuwa anakuwazia vibaya,
Nb:ila ni wakarimu saana,nilikaa kule mpaka mzee mmoja akaniomba waniozeshe binti kutokana na nilivyoishi nao ila na mm akili zangu zilikuwa bado sijielewi