Tanga kwetu raha

Tanga kwetu raha

Hahahaa. Muache tu amwage sumu yake. Sababu kaumia huyoooo.

Ila mtafute siku mkuu yeye muusifie Mkoa wake angalu atapata ahueni. Hahahaaa.
Yani watu wanapenda sana stress,nilikuwa namuona anaendeleza tu ligi bila hata sababu
 
Hahaha wanaendelea mkuu japo mara moja moja nawapita wamesimama tu hawagilii na Nguo zao pendwa za Bendera yetu maridhawa
Kuna chimbo nimelifuma sahare huku ndio ninapokata maji nkishikwa na Kiu
Nitakuwa huko wiki ijayo ebu tutambuane. Viwanja Ta bwerere.
 
Yani watu wanapenda sana stress,nilikuwa namuona anaendeleza tu ligi bila hata sababu
Hahahaa. Kazi anayo yaani kang'ang'ania kuponda tu hajajua wenye kuamini Tanga ni bora hata ukandie vipi haiwezi wabadilisha.

Hivyo amejipa tu kazi. Hebu aiache Tanga sababu hata iweje ndio kushakuwa kwetu na siwezi jibadilisha.
 
Mkuu wewe mwongo sana, Tanga ni jiji. Ulienda Sabasaba? Vp wale wamama wanaomwagilia maji keep left kwaminchi bado wanaendelea na ile adhabu?
Mkuu umenikumbusha mbali sana kuna siku nilienda kilindi kama miezi 6 sasa narudi usiku saa tatu nakuta zile sanam pale. Nikajua ni watu kweli kwasababu nilivyoondoka zilikua hkn
Nikajisemea moyoni
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana kuna siku nilienda kilindi kama miezi 6 sasa narudi usiku saa tatu nakuta zile sanam pale. Nikajua ni watu kweli kwasababu nilivyoondoka zilikua hkn
Nikajisemea moyoni
HAHAHAHAAAA kisaikolojia haujakaa sawa bora wangeweka moja ke nyingine me.
 
Nini tena rafiki?
Kuna jamaa amenifurahisha na comment yake kwa kusema watu wa Tanga wavivu sana eti
"Mtu anaenda uwanjan na mkeka kwaajili ya kulala anashindwa kusimama dk 90"etii ni kweli swahiba wangu?
 
Kuna jamaa amenifurahisha na comment yake kwa kusema watu wa Tanga wavivu sana eti
"Mtu anaenda uwanjan na mkeka kwaajili ya kulala anashindwa kusimama dk 90"etii ni kweli swahiba wangu?

Hahahaa. Mie mwenyewe nilijikuta nacheka sana aiseee.

Sio kweli bana swahiba. .

Uvivu kila sehemu upo swahiba hivyo usiwasikilize hata.
 
Hahahaa. Mie mwenyewe nilijikuta nacheka sana aiseee.

Sio kweli bana swahiba. .

Uvivu kila sehemu upo swahiba hivyo usiwasikilize hata.
Hahahahah haya bhana swahiba,yaani nafuatilia comments za raia hapa sina mbavu
 
Mkuu hizo takwimu kuwa Tanga ni Jiji la tatu linalokuwa kwa kasi baada ya Dsm na Arusha umezipata wapi?
Home sweet home lakini sio kwa promo hizo. Hahaha
Kaiacha Moshi kaiacha Mwanza
 
Hahahaaa. Usiyatie akilini swahiba hayana ukweli hayo na kama yana ukweli ni kwa asilimia chache sana.

Umesikia eee.
Okay nimekusikia mummy ake,ila mm nimewahi kuishi Handen kama mwaka hivi sikufichi toka nimezaliwa sijawahi kuona kuku mweupe ila kule karibu kila familia walikuwa na kuku mweupe na ukiuliza unaambiwa wa dawa,inshort nilichokiona kule vijana wengi wanaamini mambo ya kishirikina sana,unaweza kupishana na mtu kidogo tuu ila yy tayari anakuwa anakuwazia vibaya,

Nb:ila ni wakarimu saana,nilikaa kule mpaka mzee mmoja akaniomba waniozeshe binti kutokana na nilivyoishi nao ila na mm akili zangu zilikuwa bado sijielewi
 
Tanga raha ,namkumbuka mzee SEBOGA na kibondei chake mpaka mahakamani
 
Okay nimekusikia mummy ake,ila mm nimewahi kuishi Handen kama mwaka hivi sikufichi toka nimezaliwa sijawahi kuona kuku mweupe ila kule karibu kila familia walikuwa na kuku mweupe na ukiuliza unaambiwa wa dawa,inshort nilichokiona kule vijana wengi wanaamini mambo ya kishirikina sana,unaweza kupishana na mtu kidogo tuu ila yy tayari anakuwa anakuwazia vibaya,

Nb:ila ni wakarimu saana,nilikaa kule mpaka mzee mmoja akaniomba waniozeshe binti kutokana na nilivyoishi nao ila na mm akili zangu zilikuwa bado sijielewi
Hahahaaa. Haya bana swahiba. Kumbe ulikuwa na ya moyoni halafu ukakosa pa kuyatoa.

Ila hayo yalishapita bana hayapo tena siku hizi walio wengi wameelimika.
 
Hahahaaa. Haya bana swahiba. Kumbe ulikuwa na ya moyoni halafu ukakosa pa kuyatoa.

Ila hayo yalishapita bana hayapo tena siku hizi walio wengi wameelimika.
Hahahahah,ila ni mwaka huu mambo yamegoma kuseto ila yangeenda kama nilivyopanga ningekuja kuumalizia mwaka Tanga mjini na viunga vyake napapenda sana kutokana na ukarimu wa wenyeji wa hapo,mara ya mwisho nimefika hapo 2014 mwishoni then nikaupokelea mwaka 2015 nikiwa hapo ila bhana tatizo la hapo kwa ss wanywaji sehemu za kutumia mpaka uzitafute kwa torch
 
Back
Top Bottom