92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,424
- 17,070
mufti kwenye ubora wake ila nae anataka akafinye cha mtume kwahyo lazima atangaze😂😂Mufti akiamua wanaendelea Hawa kesho,chezea Mufti wewe
mufti kwenye ubora wake ila nae anataka akafinye cha mtume kwahyo lazima atangaze😂😂Mufti akiamua wanaendelea Hawa kesho,chezea Mufti wewe
Hawa hawaangalii mwandamo wa mwezi bali wanasikilizia kama Saudi Arabia mwezi umeandama au la.hawa ni answar sunna, ni kawaida yao kutangulia kula iddi kabla ya wenzao wa bakwata. Hawa answar sunna ndio wako sahihi katika muandamo wa mwezi. Leo mwezi uko juu na unaonekana na kila mtu
Wengi humo wapemba na ukiona mswahili ngozi nyeusi ni mula ubwabwa siku ya Idd hiyo fake kwa Mpemba anawinda pilau kwa mpemba
Awahurumie tu😂😂Leo wamekuwa wapoleemufti kwenye ubora wake ila nae anataka akafinye cha mtume kwahyo lazima atangaze😂😂
Hili suala kwa hapa tz lilianza miaka ya 80 katikati,na Hawa wanaofungua na kufungua kufuata mwezi kuandama popote watakua wengi zaidi miaka 20 ijayoKabla ya utandawazi haujaenea mambo haya hayakuwepo, waislam wote waliswali pamoja bila kujali madhehebu yao. Lakini sasa wengine ni wafuasi wa Saudi Arabia na wengine ni wafuasi wa Iran hivyo imekuwa fujo tupu!
Uislam haujaja kutenganishwa na mipaka ya sykes-picot. Mtume amekataza muislam kujinasibu kwa utaifa na ukabila. Leo hii kama muislam wa saudi Arabia ametoa taarifa ya kuaminika kuwa mwezi umeonekana kwanini wewe ukatae kauli yake? Mtume mwenyewe alishawahi kugungua swaum mchana mara baada ya msafara wa maswahaba uliotoka syria kuingia madinah na kumtaarifu kuwa njiani waliuona mwezi na hivyo ni Eid...Mtume alipothibitisha taarifa hizo akawaamuru waislam wote wa Madinah wasiendelee na swaum badala yake wafungulie na kesho yake waliswali swalatul-eidWaswali sunna hao,wana kiherehere
Umekua mwili tu,kichwani hakuna kitu...ukubwa wote huo bado hujajua bakwata ni nini!!Tangu nikiwa sijaanza shule ya msingi Bakwata nilikua najua ni Hospital.
Baada ya kutoka Mkoa na kwenda Dar, nikiwa mkubwa ndio nikajua kuwa kumbe Bakwata ni msikiti wa dini ya kiislamu.
umoja bila tarehe kamili ,ustadhi ni ngumuSijui kwanini wanashindwa kuwa na umoja japo kwenye hili tu la Eid ikaswaliwa kwa pamoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona jinsi gani waislamu wenyewe wanazodoana mara njaa mara wana penda kula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya kuletewa yatawashinda tu. Na bila shaka hao ni answari maana hata hapa nilipo leo wanafanya sherehe wenye dini ya haki naona dini yenu inajikanganya yenyewe kwa waarabu watu wanaupiga kwa nyie wamatumbi subirini shehe mkuu aseme asiposema mtajuta kuzaliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Waroho tu hao, watulie wamsikilize Mufti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mufti akiamua wanaendelea Hawa kesho,chezea Mufti wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu nikiwa sijaanza shule ya msingi Bakwata nilikua najua ni Hospital.
Baada ya kutoka Mkoa na kwenda Dar, nikiwa mkubwa ndio nikajua kuwa kumbe Bakwata ni msikiti wa dini ya kiislamu.
Uislam haujaja kutenganishwa na mipaka ya sykes-picot. Mtume amekataza muislam kujinasibu kwa utaifa na ukabila. Leo hii kama muislam wa saudi Arabia ametoa taarifa ya kuaminika kuwa mwezi umeonekana kwanini wewe ukatae kauli yake? Mtume mwenyewe alishawahi kugungua swaum mchana mara baada ya msafara wa maswahaba uliotoka syria kuingia madinah na kumtaarifu kuwa njiani waliuona mwezi na hivyo ni Eid...Mtume alipothibitisha taarifa hizo akawaamuru waislam wote wa Madinah wasiendelee na swaum badala yake wafungulie na kesho yake waliswali swalatul-eid
Kauli ya kusogeza mbele mfungo kwa siku moja imetoka kwa Padre nani tena, leta jinaBAKWATA ni kabisa katoliki lililochangamka sana!!!