Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,610
- 287,319
Huu hapa ndio Ushahidi
NjaaWaroho tu hao, watulie wamsikilize Mufti
Wanapenda sana waliNjaa
BAKWATA ni kanisa katoliki lililochangamka sana!!!
Hujakosea kabisa.BAKWATA ni kabisa katoliki lililochangamka sana!!!
Kuswali suna ni kiherehereWaswali sunna hao,wana kiherehere
hawa ni answar sunna, ni kawaida yao kutangulia kula iddi kabla ya wenzao wa bakwata. Hawa answar sunna ndio wako sahihi katika muandamo wa mwezi. Leo mwezi uko juu na unaonekana na kila mtu
Mufti akiamua wanaendelea Hawa kesho,chezea Mufti weweNaona jinsi gani waislamu wenyewe wanazodoana mara njaa mara wana penda kula 😂😂😂😂😂 mambo ya kuletewa yatawashinda tu. Na bila shaka hao ni answari maana hata hapa nilipo leo wanafanya sherehe wenye dini ya haki naona dini yenu inajikanganya yenyewe kwa waarabu watu wanaupiga kwa nyie wamatumbi subirini shehe mkuu aseme asiposema mtajuta kuzaliwa😂😂😂